Omnilabeltech
JF-Expert Member
- Jul 26, 2026
- 533
- 845
- Thread starter
- #21
wangapi wamefaidika na madaraka?
wangapi wamedhurika na madaraka?
wangapi wamefaidika na siasa?
wangapi wamedhurika na siasa?
wangapi wamefaidika na dini ?
wangapi wamedhurika na dini ?
siasa na dini navyo ni hatari