Omnilabeltech
JF-Expert Member
- Jul 26, 2026
- 533
- 845
- Thread starter
-
- #21
wangapi wamefaidika na madaraka?
wangapi wamedhurika na madaraka?
wangapi wamefaidika na siasa?
wangapi wamedhurika na siasa?
wangapi wamefaidika na dini ?
wangapi wamedhurika na dini ?
Mapenzi ni rahisi kuachana nayo ila pesa ntatafuta na siichukii mpaka nakufaa nani alisema money can't buy happiness ๐๐Ni kweli kabisa. Kama vimekukataa usilazimishe ๐
siasa na dini vinaweza kusababisha mauaji ya watu wengi hata wasiohusika ndani ya muda mfupi sana.siasa na dini navyo ni hatari
Ila mtu aliyesema money can't buy happiness anatakiwa jiwe lifungwe shingoni mwake akatupwe bahariniMapenzi ni rahisi kuachana nayo ila pesa ntatafuta na siichukii mpaka nakufaa nani alisema money can't buy happiness ๐๐
Kaka labda kugenerallise ni kua mapenzi yaponhapo kwenye dini na siasa labda kama ume stich kwenye aina Fulani ya mapenzi ila vinginevyo mapenzi yamebeba hayo yote huwezi umiza mtu huna mapenzi na pesa, dini Wala siasa ila kujitia upenzi na hivo vitu ndio chanzo cha kuua mwenzako no caresiasa na dini vinaweza kusababisha mauaji ya watu wengi hata wasiohusika ndani ya muda mfupi sana.
angalia watu waliouliwa na askari wa CCm tangu mwaka 2000 hadi 2026, linganisha na idadi ya watu waliouawa kwenye sekta ya mapenzi.
Nashangaa sana! Yeye happiness sijui alitaka aitoe wapi tena0Ila mtu aliyesema money can't buy happiness anatakiwa jiwe lifungwe shingoni mwake akatupwe baharini
mzee, usichange mapenzi na ufuasi.Kaka labda kugenerallise ni kua mapenzi yaponhapo kwenye dini na siasa labda kama ume stich kwenye aina Fulani ya mapenzi ila vinginevyo mapenzi yamebeba hayo yote huwezi umiza mtu huna mapenzi na pesa, dini Wala siasa ila kujitia upenzi na hivo vitu ndio chanzo cha kuua mwenzako no care
Vita ya mapenzi utaingia mwenyewe ila ukitaka kutoka lazima mtoane kasoro mbele ya kadamnasi
Mapenzi ni rahisi kuachana nayo ila pesa ntatafuta na siichukii mpaka nakufaa nani alisema money can't buy happiness ๐๐
Kuoa mtumishi wa mwamposa alie kubuhu Bora mchaga kwa kweli dahh
"It's true if more money are making more problems for you"-cassidy kwenye ngoma ya i am hustler akimjibu p diddyโMore money More problems
Mwingine juzi kasema akifa mali zake achukie mwamposa, mpaka unajiuliza hivi hawa ni wajinga kias ganHela ya ujenzi atapeleka kwa mwamposa