Mapenzi sikuhizi nipe, nikupe

Mapenzi sikuhizi nipe, nikupe

Siku hizi ni shida,kitendo cha kumwambia dada habari yako na kumsifia kidogo tu,hahaaa..... mizinga inaanza hapohapo imediately!duu...
 
Wewe umeshawahi kufikwa na masahibu haya inaonekana so tupe uzoefu wako.
 
Sasa kwa nini akupe bure wakati inahitaji matunzo na yeye mwenyewe kujitunza. UKitaka shurti ugharamikie.
 
Sijui ni kwa nini. Rafiki yangu marehemu kwa sasa, alijisemea bora aendelee kuwa mlevi kwani kupata mwanamke ni gharama kwa mfano mkikutana utalipa tax, kinywaji, chakula, gesti, supu, tax ya kurudi(afadhari sikuhizi kuna bodaboda) na pia utamwacha kwa hela kadhaa. Jumla ya hizo gharama inakuwa hela maradufu kiasi kwamba ni bora kunywa pombe tu. Namimi naamini. Hawa viumbe wakuwa hawana mapenzi ya ukweli. Akikupa free km mara tatu, ujue atakudondoshea bonge la shida ambapo ukishindwa kulisovu basi imekula kwako na ndo itakuwa kwaheri!
 
Na hapo ndio panapowachanganya wengi wenye iman za dini kuwa wao wako wengi itakuwa rahisi wao kukosa waume wa kuwatosheleza lkn kinyume chake wanaweka mfumo wa kukutoa pesa.mwanamke wa leo atakubali kama anajua wewe sio mbahili utampa tu hata baada ya kumtumia vyenginevyo utasumbuka kidogo na muda hakuna.
 
Sijui ni kwa nini. Rafiki yangu marehemu kwa sasa, alijisemea bora aendelee kuwa mlevi kwani kupata mwanamke ni gharama kwa mfano mkikutana utalipa tax, kinywaji, chakula, gesti, supu, tax ya kurudi(afadhari sikuhizi kuna bodaboda) na pia utamwacha kwa hela kadhaa. Jumla ya hizo gharama inakuwa hela maradufu kiasi kwamba ni bora kunywa pombe tu. Namimi naamini. Hawa viumbe wakuwa hawana mapenzi ya ukweli. Akikupa free km mara tatu, ujue atakudondoshea bonge la shida ambapo ukishindwa kulisovu basi imekula kwako na ndo itakuwa kwaheri!

Kama nimeshagegeda hata ikiwa kwaheri au kwa shari poa tu.
 
nilikotoka nimetumia nauli , nguo nlizovaa zikakuvutia nimenunua kichwan nimejighramia bado mafuta nlopaka mama kanipa wew nan ule bureee haipo kabisa

Eti huduma yako gharama zake ni kiasi gani!?
 
Wasichana wengi wa kizazi cha leo hutoa mahaba ikiwa tu kuna bingo. Vijana wa kiume nao siku hizi wameshtuka, hawatoi mkwanja mpaka wamekula mzigo kwanza. Njia panda ni pale, ambapo nani aanze kutoa chake. Kufanya mapenzi siku hizi ni kama unaingia mkataba wa kibiashara. Money on the table, funguo ya chumba mkononi ndio papuchi iliwe.

Yako wapi mapenzi?

Tunaenda wapi kizazi hiki?

Karibuni kwa mjadala

Nimependa the way you wrote..
 
naamini umakondeni bado ni bure, cjaenda kule takribani miaka 20
 
Tatizo vijana siku hizi hawataki kufanya kazi ndio maana wanaona kazi sana kuwahonga wanawake kwasababu hawana hela.....

Wanawake nao hawajijui kabisa na wanaishia kulabuliwa kwa "taizi" fake ......
 
Sijui ni kwa nini. Rafiki yangu marehemu kwa sasa, alijisemea bora aendelee kuwa mlevi kwani kupata mwanamke ni gharama kwa mfano mkikutana utalipa tax, kinywaji, chakula, gesti, supu, tax ya kurudi(afadhari sikuhizi kuna bodaboda) na pia utamwacha kwa hela kadhaa. Jumla ya hizo gharama inakuwa hela maradufu kiasi kwamba ni bora kunywa pombe tu. Namimi naamini. Hawa viumbe wakuwa hawana mapenzi ya ukweli. Akikupa free km mara tatu, ujue atakudondoshea bonge la shida ambapo ukishindwa kulisovu basi imekula kwako na ndo itakuwa kwaheri!

Wewe na rafiki yako mna matatizo, huwezi kureplace mapenzi na pombe hata siku moja.

Ukishindwa kwa mmoja haimaanishi kuwa wote wapo hivyo.
 
Back
Top Bottom