Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,979
- 3,105
Aisee!!! Mmmh!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee!!! Mmmh!!
Mwaga mboga nani nimwage ugali...
Siku hizi ni shida,kitendo cha kumwambia dada habari yako na kumsifia kidogo tu,hahaaa..... mizinga inaanza hapohapo imediately!duu...
Sijui ni kwa nini. Rafiki yangu marehemu kwa sasa, alijisemea bora aendelee kuwa mlevi kwani kupata mwanamke ni gharama kwa mfano mkikutana utalipa tax, kinywaji, chakula, gesti, supu, tax ya kurudi(afadhari sikuhizi kuna bodaboda) na pia utamwacha kwa hela kadhaa. Jumla ya hizo gharama inakuwa hela maradufu kiasi kwamba ni bora kunywa pombe tu. Namimi naamini. Hawa viumbe wakuwa hawana mapenzi ya ukweli. Akikupa free km mara tatu, ujue atakudondoshea bonge la shida ambapo ukishindwa kulisovu basi imekula kwako na ndo itakuwa kwaheri!
nilikotoka nimetumia nauli , nguo nlizovaa zikakuvutia nimenunua kichwan nimejighramia bado mafuta nlopaka mama kanipa wew nan ule bureee haipo kabisa
'''No Money No Honey nimebaini... whaaat kwa nini niumie kila saa wakati penzi lako haliendi bila ya chapaaa...??
PESA HATARI SANA
Wasichana wengi wa kizazi cha leo hutoa mahaba ikiwa tu kuna bingo. Vijana wa kiume nao siku hizi wameshtuka, hawatoi mkwanja mpaka wamekula mzigo kwanza. Njia panda ni pale, ambapo nani aanze kutoa chake. Kufanya mapenzi siku hizi ni kama unaingia mkataba wa kibiashara. Money on the table, funguo ya chumba mkononi ndio papuchi iliwe.
Yako wapi mapenzi?
Tunaenda wapi kizazi hiki?
Karibuni kwa mjadala
Nimependa the way you wrote..
naamini umakondeni bado ni bure, cjaenda kule takribani miaka 20