Mapenzi sio poa kabisa: Ulichukua muda gani kurudi kama zamani?

Cjawah umizwa kama term hii dah! Aiseee! Nang'onoka bt still namkumbka tu I wish uko aliko atoswe ili arejee kwangu mwamba!!
[emoji16][emoji16] akirud anapumzika kidogo alafu anaamsha tena, haya mambo ni hatar sana ukiachwa kubali tu anza upya
 
Niliwahi kuwa na dada mmoja hivi, stori yake nimeilezea sana huku, siku tunaachana mimi ilinichukua miaka mitano kuamini kweli sipo naye tena, mpaka sasa mwaka wa kumi, pamoja na kuwa nimeoa lakini sina uhakika kama nimesahau moja kwa moja.
 
Miaka 10 bado tu anazunguka kwenye akili yako hakika ulimpenda sana.
 
Kusema ukweli nilimpenda, lakini hawa wenzetu hawako serious kwenye uhalisia, wale wanaopenda hasa ndio wanaowazingua.
Badala yake wanaangukia kusiko.
Ni kawaida hata mimi mwanamke niliyempenda sana ndio aliniumiza vibaya mno tena bila hata sababu yeyote ya msingi.
 
Kama wewe ni mwanaume utaweza kumsahau huyo kwa kuwa malaya(yes umalaya unasaidia kupunguza maumivu na kumbukumbu mbaya za mapenzi)..Yaani namaanisha uwe playboy wewe wachape tu,chapa chapa chapa hiyo ndio njia pekee ya kumsahau aliyekutenda(kwa mwanaume lakini)..Muhimu katika hii ishu uwe vizuri financially na uzitafute pesa haswaaa maana mwenye pesa mapenzi huwa hayamuumizi kiviiile watakuja raia hapa watanipinga wengine watasema magonjwa hatukatai hapa akili lazima iwe kumkichwa chovya kwa tahadhari...HAKIKA UTAMSAHAU
Umemaliz mkuu
 
Nafikiri concept ya kuwa malaya si good idea.
Ni bora usi date tena mpaka hapo hisia zako zitakapo pona.
Ukidate wkt huo huo hutokuwa stable, utakuwa hudumu na demu yoyote sabbau bado uko kwenye recovery mode. Hata akija yule alietulia, ww utamuona kicheche mwenzako sababu bado unaishi kwenye maumivu
 
Niliwahi kuwa na dada mmoja hivi, stori yake nimeilezea sana huku, siku tunaachana mimi ilinichukua miaka mitano kuamini kweli sipo naye tena, mpaka sasa mwaka wa kumi, pamoja na kuwa nimeoa lakini sina uhakika kama nimesahau moja kwa moja.
Dah!!!
 
Niliumizwaga kipindi hicho nikiwa na miaka 24, ikanichukua kama miezi miwili kuwa sawa.

Ila tokea hapo ni KUTOMB* tuuu.
Tokea niwe na miaka 24 mpaka leo 32 SIJAWAHI TENAA KUMWAMINI MWANAMKE.

I have never again and I will never again TRUST A GIRL or a WOMAN.

#YNWA
 
Vipi imewahi kukutokea hii, yani ulikuwa unampenda sana mtu Then hakukuoa/hakuolewa na yeye. Akaja akaoa/akaolewa na Mwingine kabisa?

Kuna vitu vinaumiza sana sio siri.
Tafuta pesa hakuna atakayekusumbua lakini pia kitandani upige mashine kweli kweli Ili hata akitaka kukuacha anafikiria namna unavyomhonga na kumshighukia kamwe hataweza kusepa
 
Back
Top Bottom