Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 533
- 1,499
👍🏽Sawa sawa
Umeandika ujingaSasa watu wangu wa nguvu hebu tusome bila hasira, bila ubaguzi, na bila kuegemea upande wowote. Leo nataka tuzungumze ukweli ambao wengi wetu tunaujua lakini hatusemi kwa sauti – labda kwa woga, labda kwa unafiki, au labda kwa sababu tunapenda kudanganyana kwenye mapenzi. But leo, truth gotta be said!
Kwanza kabisa, kwa upande wa dada zetu, najua mmekuwa mkisikia sana kuhusu “mwanamke anatakiwa ahudumiwe,” “ukimpenda mpenzi wako lazima umuweke vizuri,” na hizo kauli nyingine zinazoambatana na hela. I get it, tunapenda kuhisi cared for. But yo! Let’s be real. Kama mapenzi yako yanajengwa juu ya foundation ya "huduma na pesa," basi huo ni mradi siyo uhusiano. Huu siyo ulemavu, huu ni ulevi wa tamaa na ni hatari sana.
Wanawake wa aina hii – ambao love yao ni kama Wi-Fi, inafanya kazi tu ukiweka bundle – mara nyingi hawana vision ya maisha. Wanapenda soft life lakini hawajui hata ku-strategize maisha yao. Wao ni makotopola wa maisha, wanakimbiza shadows za wanaume wenye pesa badala ya kujenga future yao. Wakiingia kwa life yako ni kama virus kwenye system – wanakata system nzima!
But pia bro, tusisahau kujitazama kwenye kioo. Kuna wanaume ambao wamejifanya ni ATM zenye miguu, kila demu wanayempata wanahisi ni lazima ampe pesa, amnunulie kila kitu, ilimradi tu apate "love." This is simp culture, na inawamaliza kimya kimya. Na vibaya zaidi, sasa hivi kuna vijana wameamua kuingia kwa mashangingi kama investment – wanaishi kwa wanawake kama watoto wa kambo. Wengine hadi wanabadilisha uhalisia wa maisha yao just to get served. Hii nayo ni hatari.
Kuna kitu cha msingi sana kinaitwa Psychological Profiling, ndiyo mbinu ya kitaalamu ya kumfahamu mtu kisaikolojia – huyu mtu anawaza nini, anataka nini, ana interest gani, na je anakufaa au ni mzigo wa kihisia (emotional liability)? Usikurupuke kwa sura au body shape ukadhani umepata wife material – it could be just a pretty disaster.
So listen up – relationships nzuri huwa haziwezi kujengwa kwa msingi wa unataka mtu akupatie maisha, bali kwa msingi wa kusaidiana. Kama hamuwezi kuanza chini pamoja, mtajenga ghorofa hewa. Na kwa dada zangu, kama unamvutia jamaa kwa sababu ya wallet yake, utatoka kwa hiyo wallet kama vile risiti. Pesa inamalizika, interest ya pesa nayo ina-expire.
Tujue hivi: mwanaume ana jukumu la kulea, kulinda, na kusaidia, lakini siyo jukumu la kuwa "provider wa kila kitu" to the point ya kujisahau. Mwanamke ana jukumu la kutunza, kushirikiana, na kujenga – siyo kulewa huduma hadi anasahau kwamba yeye pia ni sehemu ya solution.
Tusikubali kudanganywa na mitandao – hiyo couple goals mnayoona ni edited. Real relationships ni zile ambazo zina misuko suko, lakini watu wanakaa chini, wanajua majukumu yao, wanapanga future pamoja. Mapenzi ni team work – kama hauna game plan, utakua benchi maisha yako yote.
So, to both men and women: Know your boundaries, respect your roles, and don’t let tamaa guide your love life. Because truth is – tamaa siyo future plan.
Keep it 100, na tafakari kabla ya kuingia kwenye uhusiano. Siyo kila “baby” anakuita na mapenzi ya dhati, wengine wanaita wallet yako. Na siyo kila “king” anayekupenda ana future na wewe – wengine wanatafuta mother figure wa maisha yao.
Let’s grow up!
Thibitisha kwa hoja.Umeandika ujinga
Akili kubwa sana hii, toa muongozo ni eneo gani ukajengewe sanamu?Sasa watu wangu wa nguvu hebu tusome bila hasira, bila ubaguzi, na bila kuegemea upande wowote. Leo nataka tuzungumze ukweli ambao wengi wetu tunaujua lakini hatusemi kwa sauti – labda kwa woga, labda kwa unafiki, au labda kwa sababu tunapenda kudanganyana kwenye mapenzi. But leo, truth gotta be said!
Kwanza kabisa, kwa upande wa dada zetu, najua mmekuwa mkisikia sana kuhusu “mwanamke anatakiwa ahudumiwe,” “ukimpenda mpenzi wako lazima umuweke vizuri,” na hizo kauli nyingine zinazoambatana na hela. I get it, tunapenda kuhisi cared for. But yo! Let’s be real. Kama mapenzi yako yanajengwa juu ya foundation ya "huduma na pesa," basi huo ni mradi siyo uhusiano. Huu siyo ulemavu, huu ni ulevi wa tamaa na ni hatari sana.
Wanawake wa aina hii – ambao love yao ni kama Wi-Fi, inafanya kazi tu ukiweka bundle – mara nyingi hawana vision ya maisha. Wanapenda soft life lakini hawajui hata ku-strategize maisha yao. Wao ni makotopola wa maisha, wanakimbiza shadows za wanaume wenye pesa badala ya kujenga future yao. Wakiingia kwa life yako ni kama virus kwenye system – wanakata system nzima!
But pia bro, tusisahau kujitazama kwenye kioo. Kuna wanaume ambao wamejifanya ni ATM zenye miguu, kila demu wanayempata wanahisi ni lazima ampe pesa, amnunulie kila kitu, ilimradi tu apate "love." This is simp culture, na inawamaliza kimya kimya. Na vibaya zaidi, sasa hivi kuna vijana wameamua kuingia kwa mashangingi kama investment – wanaishi kwa wanawake kama watoto wa kambo. Wengine hadi wanabadilisha uhalisia wa maisha yao just to get served. Hii nayo ni hatari.
Kuna kitu cha msingi sana kinaitwa Psychological Profiling, ndiyo mbinu ya kitaalamu ya kumfahamu mtu kisaikolojia – huyu mtu anawaza nini, anataka nini, ana interest gani, na je anakufaa au ni mzigo wa kihisia (emotional liability)? Usikurupuke kwa sura au body shape ukadhani umepata wife material – it could be just a pretty disaster.
So listen up – relationships nzuri huwa haziwezi kujengwa kwa msingi wa unataka mtu akupatie maisha, bali kwa msingi wa kusaidiana. Kama hamuwezi kuanza chini pamoja, mtajenga ghorofa hewa. Na kwa dada zangu, kama unamvutia jamaa kwa sababu ya wallet yake, utatoka kwa hiyo wallet kama vile risiti. Pesa inamalizika, interest ya pesa nayo ina-expire.
Tujue hivi: mwanaume ana jukumu la kulea, kulinda, na kusaidia, lakini siyo jukumu la kuwa "provider wa kila kitu" to the point ya kujisahau. Mwanamke ana jukumu la kutunza, kushirikiana, na kujenga – siyo kulewa huduma hadi anasahau kwamba yeye pia ni sehemu ya solution.
Tusikubali kudanganywa na mitandao – hiyo couple goals mnayoona ni edited. Real relationships ni zile ambazo zina misuko suko, lakini watu wanakaa chini, wanajua majukumu yao, wanapanga future pamoja. Mapenzi ni team work – kama hauna game plan, utakua benchi maisha yako yote.
So, to both men and women: Know your boundaries, respect your roles, and don’t let tamaa guide your love life. Because truth is – tamaa siyo future plan.
Keep it 100, na tafakari kabla ya kuingia kwenye uhusiano. Siyo kila “baby” anakuita na mapenzi ya dhati, wengine wanaita wallet yako. Na siyo kila “king” anayekupenda ana future na wewe – wengine wanatafuta mother figure wa maisha yao.
Let’s grow up!
Jibu lako liko biased lakiniwomen ndio wanachukua muda kwenyr malezi wa watoto, ndio wanaobeba mimba and so depend on males for resources , ladies kama mwanaume haoneshi kwamba ata provide when you are vulnerable/ when you need him..ditch his sorry ass!...asikwambie mtu eti mchunba hahudumiwi...usipoonyesha you are responsible from the beginning the truth is you are never responsible!...kama unaona ubahili kumhudumia mchumba utaona ubahili kumuhudumia mkeo...najibu hio part tu lol
Kwa nini mkuu?.. kuwa freeJibu lako liko biased lakini
Good!Umeongea ukweli mzee mwenzangu. Hizi kauli za "mwanamke anahitaji matunzo" zimepotoshwa na kuzalisha masimp wengi sana mtaani. Chimbuko la hizo kauli mwanamke aliekua anamaanishwa ni mke rasmi. Ukiangalia mahusiano yalivyo kwa sasa, mwanamke amepewa status ya mlemavu ambae hawezi kufanya kazi kujihudumia mahitaji yake.
Kuna wanawake ambao hawajishughulishi kufanya kazi yoyote ya uzalishaji. Kinachowaweka mjini ni kutype sms ya kuomba hela na kuifoward kwa masimp waliopo kwenye contact list yake.
Kwanini wanawake wana-move on kirahisi? kwanini wanaongoza kudai talaka?, ni kwa sababu hawawekezi kwenye mahusiano yao.
Unapojenga committed relationship au kuingia kwenye ndoa akikisha unafanya hivyo na mwanamke ambaye na yeye ana cha kupoteza endapo mkatengana siku za mbeleni. Akikisha mwanamke pia amewekeza kwenye hayo mahusiano.
If it's not mutually investment, it doesn't deserve your efforts, sacrifices and commitment
Mtoa mada ameeleza pande zote mbili, Me na Ke kufanya mahusiano mradi wa maendeleo.Kwa nini mkuu?.. kuwa free
Wanawake ni viumbe wabinafsi sana, hapa unajiwazia wewe tu kuwa vulnerable. na kuhudumiwa, Hakuna kitu unaleta mezani ili tujenge pamoja unajificha kwenye kisingizio cha women ndio wanachukua muda kwenye malezi wa watoto, ndio wanaobeba mimba and so depend on males for resources, muda wote mnawaza mwanaume akifa mtabaki na nini, So patheticwomen ndio wanachukua muda kwenyr malezi wa watoto, ndio wanaobeba mimba and so depend on males for resources , ladies kama mwanaume haoneshi kwamba ata provide when you are vulnerable/ when you need him..ditch his sorry ass!...asikwambie mtu eti mchunba hahudumiwi...usipoonyesha you are responsible from the beginning the truth is you are never responsible!...kama unaona ubahili kumhudumia mchumba utaona ubahili kumuhudumia mkeo...najibu hio part tu lol
Kuna mmoja limuomba mahusiano akaleta posi, juzi kati naona status amejifungua eti ananiomba mimi pesa aiseeWanawake wanaomba mpaka unaskia aibu
Nimeitoa kwenye social psychology kama imekuuma Kafie mbele! Probably our ancestors wangekuwa selfish and expecting too much kama weww USINGEKUWEPO HAPAWanawake ni viumbe wabinafsi sana, hapa unajiwazia wewe tu kuwa vulnerable. na kuhudumiwa, Hakuna kitu unaleta mezani ili tujenge pamoja unajificha kwenye kisingizio cha women ndio wanachukua muda kwenye malezi wa watoto, ndio wanaobeba mimba and so depend on males for resources, muda wote mnawaza mwanaume akifa mtabaki na nini, So pathetic
Mimi nimeitoa kichwani kwangu. Use your brain, Usitumie kichwa kama dispenser ya kuhifadhia mate madamNimeitoa kwenye social psychology kama imekuuma Kafie mbele!