"Mapenzi Siyo Mradi wa Maendeleo – Wote Tuwe Watu Wazima Kwenye Mahusiano"

"Mapenzi Siyo Mradi wa Maendeleo – Wote Tuwe Watu Wazima Kwenye Mahusiano"

Ilikua ni just a little side quest to see if you were in the mood for self-reflection. Guess not!
Fuc.k off you sucker! There's nothing of such...hunijui sana sana utakua fed na wajinga...the real me you will never find out...me and my family are too smart for you loosers...now you are in my ignore list andika usenge wako utajibiwa na machoko wenzio...msenge ******** unajifanya smart wakati hata ku search maarifa huwezi?! Kwendaaaaaa
 
Fuc.k off you sucker! There's nothing of such...hunijui sana sana utakua fed na wajinga...the real me you will never find out...me and my family are too smart for you loosers...now you are in my ignore list andika usenge wako utajibiwa na machoko wenzio...msenge
Enjoying my second bottle of Konyagi, so I might not be the sharpest right now but at least I’m not the one thinking I’m an idiot. Meanwhile, you’re over there with no brain, no drink, no fun, below average IQ and all the wrong ideas. By the way, I don’t ignore women, sometimes, I just like their stupidity. mungu akuonekanie
******** unajifanya smart wakati hata ku search maarifa huwezi?! Kwendaaaaaa
Fun fact uko na kumasi pia, i have a dicksound so we are all neighbours
 
Tusikubali kudanganywa na mitandao – hiyo couple goals mnayoona ni edited. Real relationships ni zile ambazo zina misuko suko, lakini watu wanakaa chini, wanajua majukumu yao, wanapanga future pamoja. Mapenzi ni team work – kama hauna game plan, utakua benchi maisha yako yote.
Kaka Umeongea point sana, kweli marekani imekubadilisha kichwa 🤝🤝🤝🙏
 
Kuna kitu cha msingi sana kinaitwa Psychological Profiling, ndiyo mbinu ya kitaalamu ya kumfahamu mtu kisaikolojia – huyu mtu anawaza nini, anataka nini, ana interest gani, na je anakufaa au ni mzigo wa kihisia (emotional liability)? Usikurupuke kwa sura au body shape ukadhani umepata wife material – it could be just a pretty disaster.
Nifundishe hii mbinu mkuu 😅
 
women ndio wanachukua muda kwenyr malezi wa watoto, ndio wanaobeba mimba and so depend on males for resources , ladies kama mwanaume haoneshi kwamba ata provide when you are vulnerable/ when you need him..ditch his sorry ass!...asikwambie mtu eti mchunba hahudumiwi...usipoonyesha you are responsible from the beginning the truth is you are never responsible!...kama unaona ubahili kumhudumia mchumba utaona ubahili kumuhudumia mkeo...najibu hio part tu lol
Anahudumiwa kama anatoa mchango kwenye mahusiano
 
Good!

Mwanamke anawagroup mahawara zake na hajihangaishi kumwandikia sms kila mmoja.

Anaandika msg moja tu... 'mambo, mwenziyo ela cna na nnataka kusuka', kisha anairusha kwenye group alilouliunda.

Hapo wanaume kila mmoja ataanza kujitetea kivyake, ama kujimwambafy kuonesha kufuru ya ukwasi kila mmoja kwa wakati wake.

Inakuwa kama katupia mbwa zake marapurapu mgombanie.

Kiukweli ukitaka kuvunja mahusiano na mwanamke kama huyo atakuwa hana cha kupoteza, sana sana wewe ndiye utakayeumia.
Saivi imefika hatua demu akiomba msaada kama haujathibitisha anayo hiyo shida kweli unachukulia unapigwa. Halafu shida sio kumpa hela, shida ni baada ya kumpa hiyo hela anakuona fala na kukutumia kama mfano wa jinsi anavyowapiga wanaume kizembe. Sasa hapo hata kama hiyo hela ni ndogo sana kwako lazima heshima yako lazima uilinde. Mimi saivi msaada wowote wa kifedha au fursa ya kazi nawasaidia vijana wa kiume tu. Mwanamke pekee nitakaemsaidia ni wa kutoka kwenye familia yangu
 
Saivi imefika hatua demu akiomba msaada kama haujathibitisha anayo hiyo shida kweli unachukulia unapigwa. Halafu shida sio kumpa hela, shida ni baada ya kumpa hiyo hela anakuona fala na kukutumia kama mfano wa jinsi anavyowapiga wanaume kizembe. Sasa hapo hata kama hiyo hela ni ndogo sana kwako lakini heshima yako lazima uilinde. Mimi saivi msaada wowote wa kifedha au fursa ya kazi nawasaidia vijana wa kiume tu. Mwanamke pekee nitakaemsaidia ni wa kutoka kwenye familia yangu
Good Point, sema Nini mkuu siku hizi mbona huweki madini hapa au ndo mambo mengi
 
Wanawake wanaomba mpaka unaskia aibu
Demu kakukuta tu sehemu unakula anakwambia hajala mnunilie chipsi na mishkaki. Unashangaa huyu asingekutana na mimi angeshinda njaa?

Mwingine kakuona tu viwanja anakwambia mnunulie kinywaji. Unashangaa huyu amekuja hapa bila hela, kama hana hela si angebaki nyumbani kwake alale.

Mimi madogo wa kike kutoka kwenye familia yangu wakiniomba hela huwa nawapa immediately. Baba mdogo nina shida ya hiki, mwingine mjomba nahitaji hiki nawapa fasta fasta. Kwa sababu sitaki waishi haya maisha ya aibu ya kuombaomba mtaani kwa dhamana ya kumer
 
Sasa watu wangu wa nguvu hebu tusome bila hasira, bila ubaguzi, na bila kuegemea upande wowote. Leo nataka tuzungumze ukweli ambao wengi wetu tunaujua lakini hatusemi kwa sauti – labda kwa woga, labda kwa unafiki, au labda kwa sababu tunapenda kudanganyana kwenye mapenzi. But leo, truth gotta be said!

Kwanza kabisa, kwa upande wa dada zetu, najua mmekuwa mkisikia sana kuhusu “mwanamke anatakiwa ahudumiwe,” “ukimpenda mpenzi wako lazima umuweke vizuri,” na hizo kauli nyingine zinazoambatana na hela. I get it, tunapenda kuhisi cared for. But yo! Let’s be real. Kama mapenzi yako yanajengwa juu ya foundation ya "huduma na pesa," basi huo ni mradi siyo uhusiano. Huu siyo ulemavu, huu ni ulevi wa tamaa na ni hatari sana.

Wanawake wa aina hii – ambao love yao ni kama Wi-Fi, inafanya kazi tu ukiweka bundle – mara nyingi hawana vision ya maisha. Wanapenda soft life lakini hawajui hata ku-strategize maisha yao. Wao ni makotopola wa maisha, wanakimbiza shadows za wanaume wenye pesa badala ya kujenga future yao. Wakiingia kwa life yako ni kama virus kwenye system – wanakata system nzima!

But pia bro, tusisahau kujitazama kwenye kioo. Kuna wanaume ambao wamejifanya ni ATM zenye miguu, kila demu wanayempata wanahisi ni lazima ampe pesa, amnunulie kila kitu, ilimradi tu apate "love." This is simp culture, na inawamaliza kimya kimya. Na vibaya zaidi, sasa hivi kuna vijana wameamua kuingia kwa mashangingi kama investment – wanaishi kwa wanawake kama watoto wa kambo. Wengine hadi wanabadilisha uhalisia wa maisha yao just to get served. Hii nayo ni hatari.

Kuna kitu cha msingi sana kinaitwa Psychological Profiling, ndiyo mbinu ya kitaalamu ya kumfahamu mtu kisaikolojia – huyu mtu anawaza nini, anataka nini, ana interest gani, na je anakufaa au ni mzigo wa kihisia (emotional liability)? Usikurupuke kwa sura au body shape ukadhani umepata wife material – it could be just a pretty disaster.

So listen up – relationships nzuri huwa haziwezi kujengwa kwa msingi wa unataka mtu akupatie maisha, bali kwa msingi wa kusaidiana. Kama hamuwezi kuanza chini pamoja, mtajenga ghorofa hewa. Na kwa dada zangu, kama unamvutia jamaa kwa sababu ya wallet yake, utatoka kwa hiyo wallet kama vile risiti. Pesa inamalizika, interest ya pesa nayo ina-expire.

Tujue hivi: mwanaume ana jukumu la kulea, kulinda, na kusaidia, lakini siyo jukumu la kuwa "provider wa kila kitu" to the point ya kujisahau. Mwanamke ana jukumu la kutunza, kushirikiana, na kujenga – siyo kulewa huduma hadi anasahau kwamba yeye pia ni sehemu ya solution.

Tusikubali kudanganywa na mitandao – hiyo couple goals mnayoona ni edited. Real relationships ni zile ambazo zina misuko suko, lakini watu wanakaa chini, wanajua majukumu yao, wanapanga future pamoja. Mapenzi ni team work – kama hauna game plan, utakua benchi maisha yako yote.

So, to both men and women: Know your boundaries, respect your roles, and don’t let tamaa guide your love life. Because truth is – tamaa siyo future plan.

Keep it 100, na tafakari kabla ya kuingia kwenye uhusiano. Siyo kila “baby” anakuita na mapenzi ya dhati, wengine wanaita wallet yako. Na siyo kila “king” anayekupenda ana future na wewe – wengine wanatafuta mother figure wa maisha yao.

Let’s grow up!

Saafi sana mwenyekiti Prof_Adventure_guide

Mimi wakati nakua miaka karibu 30 hivi iliyopita. Nikakutana na binti mrembo halafu katoka familia bora kuzidi maelezo. Yaani ilikuwa bora sana kuanzia riziki, mpangilio wa familia, kutimiza wajibu nk nk. Lakini cha kushangaza (siyo kwamba najilaumu au kwamba pengine angekuwa bora kuliko aliyepo sasa), nilimkataa. Je hiyo ilikuwa ni udhaifu wa kuogopa mabinti wanaotoka familia bora kifedha kunizidi?? Je vijana wa leo wana lolote la kushauriwa kutoka uzoefu huu?
 
Umeongea ukweli mzee mwenzangu. Hizi kauli za "mwanamke anahitaji matunzo" zimepotoshwa na kuzalisha masimp wengi sana mtaani. Chimbuko la hizo kauli mwanamke aliekua anamaanishwa ni mke rasmi. Ukiangalia mahusiano yalivyo kwa sasa, mwanamke amepewa status ya mlemavu ambae hawezi kufanya kazi kujihudumia mahitaji yake.

Kuna wanawake ambao hawajishughulishi kufanya kazi yoyote ya uzalishaji. Kinachowaweka mjini ni kutype sms ya kuomba hela na kuifoward kwa masimp waliopo kwenye contact list yake.

Kwanini wanawake wana-move on kirahisi? kwanini wanaongoza kudai talaka?, ni kwa sababu hawawekezi kwenye mahusiano yao.

Unapojenga committed relationship au kuingia kwenye ndoa akikisha unafanya hivyo na mwanamke ambaye na yeye ana cha kupoteza endapo mkatengana siku za mbeleni. Akikisha mwanamke pia amewekeza kwenye hayo mahusiano.

If it's not mutually investment, it doesn't deserve your efforts, sacrifices and commitment

Ha ha haa haaa
So you mean give and take?
 
Back
Top Bottom