"Mapenzi Siyo Mradi wa Maendeleo – Wote Tuwe Watu Wazima Kwenye Mahusiano"

"Mapenzi Siyo Mradi wa Maendeleo – Wote Tuwe Watu Wazima Kwenye Mahusiano"

Basi na nyie tunapowapikia na kuwafulia na kuwasafishia nyumba mnayoishi basi na ninyi so walemavu , muanze kujifanyia hivyo vitu wenyewe, ili na sisi tukazalishe pesa. Manake tunapoteza muda majumbani kufanya hizo Kazi. Mbali na kuwapikia bado mnataka na heshima juu. Sidhani kama tutawaheshimu kama mamtuprovaidii. Kwa sababu kama najiprovaidia kwanini nikuheshimu ndani ya nyumba? Ili nikuheshimu inatakiwa uwe na kitu ambacho Sina. Unapenda usawa at the same time hampendi usawa.

Hayo yote tunayajua kwamba mnafanya na sisi yetu tunafanya. Mtoa mada anasema, kwa nini nyie mnataka spesho attention, kwamba huduma ziwe kwenu tuuu kama watoto wadogo. Nanyi pia mjiongeze ili pande zote zone zina wajibu wa kuchagiza penzi motomoto lenye vision. Iwe win win na si win lose situation.
Labda ndiyo ile ya kusema mwanamke hakui mpaka atakapomaliza mwendo wake. Maana yeye akiwa na umri wowote ule akizinguliwa anasema naenda zangu nyumbani. Wakati wanaume tunajua hapo ulipo ndiyo umefika
 
Fuc.k off you sucker! There's nothing of such...hunijui sana sana utakua fed na wajinga...the real me you will never find out...me and my family are too smart for you loosers...now you are in my ignore list andika usenge wako utajibiwa na machoko wenzio...msenge ******** unajifanya smart wakati hata ku search maarifa huwezi?! Kwendaaaaaa

Moderator
Kila miaka inavyoenda JF inazidi kutumbukia shimoni
 
Enjoying my second bottle of Konyagi, so I might not be the sharpest right now but at least I’m not the one thinking I’m an idiot. Meanwhile, you’re over there with no brain, no drink, no fun, below average IQ and all the wrong ideas. By the way, I don’t ignore women, sometimes, I just like their stupidity. mungu akuonekanie

Fun fact uko na kumasi pia, i have a dicksound so we are all neighbours

Wahenga walisema, ukiwa unaoga mtoni, halafu mmoja anachukua nguo zako na kuanza kukimbia. . . .
 
Saivi imefika hatua demu akiomba msaada kama haujathibitisha anayo hiyo shida kweli unachukulia unapigwa. Halafu shida sio kumpa hela, shida ni baada ya kumpa hiyo hela anakuona fala na kukutumia kama mfano wa jinsi anavyowapiga wanaume kizembe. Sasa hapo hata kama hiyo hela ni ndogo sana kwako lazima heshima yako lazima uilinde. Mimi saivi msaada wowote wa kifedha au fursa ya kazi nawasaidia vijana wa kiume tu. Mwanamke pekee nitakaemsaidia ni wa kutoka kwenye familia yangu

Bro wengine wanakuwa na shida kweli. Wasaidie tu. Hao wachache wenye tabia ya unyonyaji aliokataza Nyerere usiwaharibie wengine walio wengi wenye shida
 
Fuc.k off you sucker! There's nothing of such...hunijui sana sana utakua fed na wajinga...the real me you will never find out...me and my family are too smart for you loosers...now you are in my ignore list andika usenge wako utajibiwa na machoko wenzio...msenge ******** unajifanya smart wakati hata ku search maarifa huwezi?! Kwendaaaaaa
Dada kumbe ndo unabwatuka kama hivi!

Ndiyo sababu unakulaga bann mwanzo mwisho.

chill out siss... humu ni burudani tu usiwe serious sana.
 
Wanawake wanaomba mpaka unaskia aibu
Nilikutana nae mmoja nikamuita sehemu tukae tupige story nilipewa mkeka ule nadaiwa kodi ya Nyumba na Mtoto Ada sijui naitoa wapi shuleni anadaiwa alafu anakwambia wanaume wa siku hizi mnakwepa majukumu nikabaki namuagalia alafu huyo hata kazi hana nilifuta number mda huo baada ya kuondoka
 
Basi na nyie tunapowapikia na kuwafulia na kuwasafishia nyumba mnayoishi basi na ninyi so walemavu , muanze kujifanyia hivyo vitu wenyewe, ili na sisi tukazalishe pesa. Manake tunapoteza muda majumbani kufanya hizo Kazi. Mbali na kuwapikia bado mnataka na heshima juu. Sidhani kama tutawaheshimu kama mamtuprovaidii. Kwa sababu kama najiprovaidia kwanini nikuheshimu ndani ya nyumba? Ili nikuheshimu inatakiwa uwe na kitu ambacho Sina. Unapenda usawa at the same time hampendi usawa.
Nyie wa ndani amna tatizo Kuna hizi kenge unakutana nayo leo analeta waraka kama wa TECK
 
Nyie mlie, mgalegale mtajiju sio shida zetu..!!

Muhimu ukimkojolea mwanamke iwe umemuoa au kimasihara ni wajibu wako kumuhudumia..!!
Kama mnaona rahisi msitake wanawake, mnashindwa hata na simba anahudumia jike lake bila gubu….!!😏😹😹😹
 
Sasa watu wangu wa nguvu hebu tusome bila hasira, bila ubaguzi, na bila kuegemea upande wowote. Leo nataka tuzungumze ukweli ambao wengi wetu tunaujua lakini hatusemi kwa sauti – labda kwa woga, labda kwa unafiki, au labda kwa sababu tunapenda kudanganyana kwenye mapenzi. But leo, truth gotta be said!

Kwanza kabisa, kwa upande wa dada zetu, najua mmekuwa mkisikia sana kuhusu “mwanamke anatakiwa ahudumiwe,” “ukimpenda mpenzi wako lazima umuweke vizuri,” na hizo kauli nyingine zinazoambatana na hela. I get it, tunapenda kuhisi cared for. But yo! Let’s be real. Kama mapenzi yako yanajengwa juu ya foundation ya "huduma na pesa," basi huo ni mradi siyo uhusiano. Huu siyo ulemavu, huu ni ulevi wa tamaa na ni hatari sana.

Wanawake wa aina hii – ambao love yao ni kama Wi-Fi, inafanya kazi tu ukiweka bundle – mara nyingi hawana vision ya maisha. Wanapenda soft life lakini hawajui hata ku-strategize maisha yao. Wao ni makotopola wa maisha, wanakimbiza shadows za wanaume wenye pesa badala ya kujenga future yao. Wakiingia kwa life yako ni kama virus kwenye system – wanakata system nzima!

But pia bro, tusisahau kujitazama kwenye kioo. Kuna wanaume ambao wamejifanya ni ATM zenye miguu, kila demu wanayempata wanahisi ni lazima ampe pesa, amnunulie kila kitu, ilimradi tu apate "love." This is simp culture, na inawamaliza kimya kimya. Na vibaya zaidi, sasa hivi kuna vijana wameamua kuingia kwa mashangingi kama investment – wanaishi kwa wanawake kama watoto wa kambo. Wengine hadi wanabadilisha uhalisia wa maisha yao just to get served. Hii nayo ni hatari.

Kuna kitu cha msingi sana kinaitwa Psychological Profiling, ndiyo mbinu ya kitaalamu ya kumfahamu mtu kisaikolojia – huyu mtu anawaza nini, anataka nini, ana interest gani, na je anakufaa au ni mzigo wa kihisia (emotional liability)? Usikurupuke kwa sura au body shape ukadhani umepata wife material – it could be just a pretty disaster.

So listen up – relationships nzuri huwa haziwezi kujengwa kwa msingi wa unataka mtu akupatie maisha, bali kwa msingi wa kusaidiana. Kama hamuwezi kuanza chini pamoja, mtajenga ghorofa hewa. Na kwa dada zangu, kama unamvutia jamaa kwa sababu ya wallet yake, utatoka kwa hiyo wallet kama vile risiti. Pesa inamalizika, interest ya pesa nayo ina-expire.

Tujue hivi: mwanaume ana jukumu la kulea, kulinda, na kusaidia, lakini siyo jukumu la kuwa "provider wa kila kitu" to the point ya kujisahau. Mwanamke ana jukumu la kutunza, kushirikiana, na kujenga – siyo kulewa huduma hadi anasahau kwamba yeye pia ni sehemu ya solution.

Tusikubali kudanganywa na mitandao – hiyo couple goals mnayoona ni edited. Real relationships ni zile ambazo zina misuko suko, lakini watu wanakaa chini, wanajua majukumu yao, wanapanga future pamoja. Mapenzi ni team work – kama hauna game plan, utakua benchi maisha yako yote.

So, to both men and women: Know your boundaries, respect your roles, and don’t let tamaa guide your love life. Because truth is – tamaa siyo future plan.

Keep it 100, na tafakari kabla ya kuingia kwenye uhusiano. Siyo kila “baby” anakuita na mapenzi ya dhati, wengine wanaita wallet yako. Na siyo kila “king” anayekupenda ana future na wewe – wengine wanatafuta mother figure wa maisha yao.

Let’s grow up!
cc;Mke wangu kupe akiwa na watoto na watoto wetu vibaka wakisubiri nife watwae kila kitu changudoa kiwe chao,waione kwenye kiambaza cha mlango.
 
Kuna wanawake ambao hawajishughulishi kufanya kazi yoyote ya uzalishaji. Kinachowaweka mjini ni kutype sms ya kuomba hela na kuifoward kwa masimp waliopo kwenye contact list yake.
Na kuna wanaume hawajishughulishi kazi yao kutype sms “My nimekumiss njoo unipe joto” na kufoward kwa wadada waliopo kwenye contact list yake…!!

Hapo vipi? 😹😹😹
 
Nyie mlie, mgalegale mtajiju sio shida zetu..!!

Muhimu ukimkojolea mwanamke iwe umemuoa au kimasihara ni wajibu wako kumuhudumia..!!
Kama mnaona rahisi msitake wanawake, mnashindwa hata na simba anahudumia jike lake bila gubu….!!😏😹😹😹
Nani alikuhadithia kwamba Simba dume humuhudumia jike wake?
 
Unakuwa na mahusiano na mdada just first week au first month anataka Hela ya pedi, kusuka, bundle, nauli n.k., mwanaume unayemfanyia haya mdada huna akili kabisa...

Huduma inatakiwa itoke kwa hiari na si kwa kuorodheshewa Kama vile wewe umekuwa saccos.

Ukiona hivo ujue hapo hakuna mapenzi mko kwenye mradi, shituka na ukimbie mapema.
Ukikaza fuvu, IPO siku utalia na kusaga meno, maana unadate na malaya yaaani chakula ya jamii
Na wewe acha kmuomba kitomboua ili usiombwe pesa, mbona simple tu wala huhitaji kutumia nguvu na kuumiza kichwa..!!
 
Good!

Mwanamke anawagroup mahawara zake wote na hajihangaishi kumwandikia sms kila mmoja.

Anaandika msg moja tu... 'mambo, mwenziyo ela cna na nnataka kusuka', kisha anairusha kwenye group alilouliunda.

Hapo wanaume kila mmoja ataanza kujitetea kivyake, ama kujimwambafy kuonesha kufuru ya ukwasi kila mmoja kwa wakati wake.

Inakuwa kama katupia mbwa marapurapu wagombanie.

Kiukweli ukitaka kuvunja mahusiano na mwanamke kama huyo atakuwa hana cha kupoteza, sana sana wewe ndiye utakayeumia kwa kumkosa yeye.
Tafuta pesa uache kulalamika wanawake wana vigroup vya mibuzi..!! 😹😹😹
 
Uanaume ni umiliki.
Kuanzia Wanawake, Wanyama na Vitu
Bora wewe umeona hilo, sasa nijihudumie nitakuheshimu vipi??

Yani mimi nikijihudumia huyo mwanaume hakuna rangi ataacha kuona…!! 👿😡

Nimekumbuka, Kwanza siwezi kuwa na furushi..!! 😹😹
 
Back
Top Bottom