Muigai Jr
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 2,334
- 4,281
Dawa ni kufuta tu namba tuu.Nilikutana nae mmoja nikamuita sehemu tukae tupige story nilipewa mkeka ule nadaiwa kodi ya Nyumba na Mtoto Ada sijui naitoa wapi shuleni anadaiwa alafu anakwambia wanaume wa siku hizi mnakwepa majukumu nikabaki namuagalia alafu huyo hata kazi hana nilifuta number mda huo baada ya kuondoka