"Mapenzi Siyo Mradi wa Maendeleo – Wote Tuwe Watu Wazima Kwenye Mahusiano"

Dawa ni kufuta tu namba tuu.
 
Wanawake wanaomba haki sawa na wanadai wakiwezeshwa wanaweza, lakini ukiangalia jinsi wanavyo behave kwenye mahusiano ni kama vile hawapendi kufanya kazi, ila wanapenda kuhudumiwa tu.

Huwa nashangaa sana wanavyotoza gharama kwenye kuipata mbususu utadhani wao huwa hawapati haja ya tendo husika au huwa hawafurahii tendo lenyewe!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…