Mapenzi ya ajabu sana leo mimechezwa nyimbo ya fireboy “Vibration”

Mapenzi ya ajabu sana leo mimechezwa nyimbo ya fireboy “Vibration”

Duuuh hatarii umekamatika mkuu vp uliweza kucheza au ndio ile kama mmasai kapandisha mori kua makini na hao watoto sometimes machimbo yao sinza mori na mugabe.
 
Hongera mzee..me mwenyewe Jana nilimchezea mjukuu wako "medicine" mpaka najishangaa..ama kweli mapenzi ya ajabu
 
Back
Top Bottom