Mapenzi ya barua yalikuwa matamu sana.Anayepinga huyo hana ulegend!!

De Opera

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2013
Posts
780
Reaction score
1,664
244566039_1456555221431338_2468969303444211502_n.jpg
 
Kipindi naakili za nungunungu niliandikiwa barua nikaichomaga Moto!,nilivyo katili sikumjibu chochote baadae Sana nilikutananae alitupia tumaneno Kama bango fulani hivi nililipata nikatulia kimyaa.. ile barua niliitunza kabla sijaichoma kila siku naisoma tu!..😁 sikuhizi baadhi ya dada zetu hawajui hata kuandika just imagine anaandika hivi "Nkutaka 2we pamoko uskatae omba langu tajnyonga!" Wa hivi ukimtia mimba et anakimbilia ustawi wa jamii!.

Wakati wale wa barua walifurahi kuwa na mimba yako atalea kwa raha na shida!.
 
Bro wangu aliwahi andikiwa Waraka wa Petro

Ile haikua barua ulikua waraka yaan demu aliandika makaratasi saba yaan makaratasi saba ,( kurasa 14)

Jamaa alisoma tatu, yanne akasema eeeyiiii akachoma moto.

Demu mwenyewe alishaolewa na Mwana mwingine.
🤣🤣 Yawezekana demu alikuwa hajui kuandika! Maana tunawajua wanafunzi ambao hawakuwa wakijua kuandika kazi yao ilikuwa ni kuchafua madaftari.
 
Kipindi naakili za nungunungu niliandikiwa barua nikaichomaga Moto!,nilivyo katili sikumjibu chochote baadae Sana nilikutananae alitupia tumaneno Kama bango fulani hivi nililipata nikatulia kimyaa.. ile barua niliitunza kabla sijaichoma kila siku naisoma tu!..😁 sikuhizi baadhi ya dada zetu hawajui hata kuandika just imagine anaandika hivi "Nkutaka 2we pamoko uskatae omba langu tajnyonga!" Wa hivi ukimtia mimba et anakimbilia ustawi wa jamii!.
Wakati wale wa barua walifurahi kuwa na mimba yako atalea kwa raha na shida!.
🤣🤣🤣 Kwanza hata kuchora maua hawajui!
 
Mimi shule msingi nilimwandikia mtoto wa mwalimu ,Sijui alidondosha ,aliyeipata akaenda kuibandika kwenye kengele ya shule ,mwalimu wa zamu akaiona ee bhana akaisoma mbele ya wanafunzi na viboko juu.

Halafu barua yenyewe inaongea hadi kumwoa nilivyo mpuuzi.
 
🤣🤣🤣 Darasa la ngapi kipindi hiko?
 
Back
Top Bottom