Mapenzi ya barua yalikuwa matamu sana.Anayepinga huyo hana ulegend!!

Kipindi naakili za nungunungu niliandikiwa barua nikaichomaga Moto!,nilivyo katili sikumjibu chochote baadae Sana nilikutananae alitupia tumaneno Kama bango fulani hivi nililipata nikatulia kimyaa.. ile barua niliitunza kabla sijaichoma kila siku naisoma tu!..😁 sikuhizi baadhi ya dada zetu hawajui hata kuandika just imagine anaandika hivi "Nkutaka 2we pamoko uskatae omba langu tajnyonga!" Wa hivi ukimtia mimba et anakimbilia ustawi wa jamii!.

Wakati wale wa barua walifurahi kuwa na mimba yako atalea kwa raha na shida!.
 
🀣🀣 Yawezekana demu alikuwa hajui kuandika! Maana tunawajua wanafunzi ambao hawakuwa wakijua kuandika kazi yao ilikuwa ni kuchafua madaftari.
 
🀣🀣🀣 Kwanza hata kuchora maua hawajui!
 
Mimi shule msingi nilimwandikia mtoto wa mwalimu ,Sijui alidondosha ,aliyeipata akaenda kuibandika kwenye kengele ya shule ,mwalimu wa zamu akaiona ee bhana akaisoma mbele ya wanafunzi na viboko juu.

Halafu barua yenyewe inaongea hadi kumwoa nilivyo mpuuzi.
 
🀣🀣🀣 Darasa la ngapi kipindi hiko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…