Mapenzi ya barua yalikuwa matamu sana.Anayepinga huyo hana ulegend!!

Yule Dada alikua anapewa barua aniletee akawa anazipotezea, anakaa nayo week nzima hadi appointment inapita ndio anakupatia
Huyo masanja alikuwa na wivu, ndio maana sio vizuri kumpa masanja barua apeleke mahali ataleta balaa. πŸ˜†πŸ˜†
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…kupigana kisa demu sijawahi
Ulikuwa unajisikiaje demu hakuelewi lakini unaona mburula moja inabeba tu kirahisi? au hukuwa na wivu mzee baba?
 
Ulikuwa unajisikiaje demu hakuelewi lakini unaona mburula moja inabeba tu kirahisi? au hukuwa na wivu mzee baba?
Inaumaga sana kmmmk walai dah! Yule demu nilimziria maisha yangu yote hata nikikutana nae leo simsalimii!
 
Enzi nasoma seminary halafu nna manzi anasoma Loreto Girls. Uzuri barua zilikuwa hazisomwi. Huwa nikizisoma hizi barua nacheka sana πŸ˜‚πŸ˜‚

Sijuagi hata yupo wapi siku hizi.


Halafu anakuambia barua hazisomwi jiachie tu
 
Barua kama uliandika halafu ndio imejibiwa kabla hujaisoma unaoga kabisa unapanda kitandani unaisoma. Hapo wana waliokusaidia mistari nao wanasubiri kwa hamu waone jibu. Enzi hizo barua inahaririwa na dorm zima kabla haijatumwa
 
Umenikumbusha aisee kuna manzi wangu mmoja alihamia shuleni kwetu ,basi tukazoeana baada ya week akanitumia barua za hiyo karatasi na card zile za msg halafu zinanukia pafyumu yake ....dah nilikuwa narudi kuisoma na kuinusa.

Huyo Etropia wangu kapotelea wapi
 
Hadi sasa yapo ilimradi kukumbushia na kufurahisha nafsi.
 

Attachments

  • LA20231030-140025.jpg
    54.8 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…