Mapenzi ya dhati yakoje? Yanafananaje?

Mapenzi ya dhati yakoje? Yanafananaje?

Gagurito

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Posts
5,600
Reaction score
806
wadau wa jamvin, Mwenzenu nimekuwa nikisikia kwa wakati tofauti watu (wote wadada na wakaka) wakisema "namtaka mpenzi mwenye mapenzi ya dhati" Honest neno dhati mpaka sasa cjapata kuelewa maana halisi ya neno hili/ sielewi mapenzi haya yakoje. JE NI NINI TAFSIRI SAHII YA NENO "DHATI"? Tusaidiane!

Jamani kamusi za kiswahili zimechomwa moto zote au hazikuwahi kuchapishwa?!

Mapenzi ya dhati yalikuwepo miaka mingi iliyopita sasa ni ndoto za mchanA hakuna kitu kama hicho sasa ni full usanii si kwa wazee hadi vijana!!!

Logic ya hoja yangu inatokana na ukweli kwamba mpaka sasa sijaona utofauti kati ya mapenzi ya dhati na mapenzi ya uongo, hii inatokana na ukweli kwamba wahusika ni wale wale, matendo yao ni yale yale, usanii ni ule ule. SASA HAYA MAPENZI YA DHATI YAKOJE?

Kwa mara ya pili nauliza ...NILALE MCHANA NIMEKUA MZAZI MIE?!

Hee mchana now? haya mamaa leta ma'comments yako! Mwenzio mapenzi ya dhati nimeshindwa yajua, nimeshindwa tofautisha na mapenz mengine coz wahusika wale wale, kutendwa kule kule etc!

Hao wahusika wale wale kila siku unawapata wapi?!Mbona mimi sijatendwa?!

Labda kwangu hiyo dhati haijawah nitembelea. Lakin hata baadhi ya watu waliopo ktk mahusiano wamekua wakionekana kufurahia mapenzi yao kwa wakati then afta muda wamekua wakilizwa kwa kutendwa, hapo awali walideclare wote kwa pamoja kuwa wanamapendo ya dhati, sasa huku kulizwa ndio haswa kwanichanganya zaid! Ni kweli haya mapenz ya dhati yapo? Yanafananaje? Yakoje?

Mtu kua na mapenzi ya dhati na wewe haimaanishi kwamba mtakua pamoja milele...inamaanisha kwamba kwa wakati ule anaokua anakupenda anakua anakupenda kweli na sio anakuzuga!!!

Sawa Lizzy, wewe ni bint una experience kubwa ktk watu wa jinsia yako the same kwangu, sote wa tz then twajua mapenz ya kibongo yalivyo, japo kwa huo muda uusemao wewe, unadhan nature ya mahusiano ya wadada na wakaka wa kibongo yanausisha udhati?

Baadhi NDIO...wengi HAPANA. Wengi wako kimaslahi zaidi!!!

Asante kwa ufafanuzi! Nadhani sasa utakubaliana nami kuwa hawa wengi wameteka sana mapenzi either kwa tamaa zao, njaa zao na mapesa yao, Matendo yao yamekua ya hovyo kiasi kwamba wamejenga hofu kwa hawa wachache wenye mapenzi ya kweli, wamewafunika kwa matendo yao maovu, kiasi kwamba UDHATI WA MAPENZI sasa umepotea!

Hiyo ndio hali halisi....full usanii!!

Back
Top Bottom