heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Vingi unaweza kuvipoteza na
ukavipata vingine, lakini Kamwe
huwezi kupata Mama Mwingine...
hivyo Tuwapende na Kuwaheshim
sana Mamazetu kwani siku
tukiwapoteza hatuto pata mwingine
kamwe! Na hata vitabu tukufu
vinatuambia Pepo ziko chini ya
nyayo za wazazi wetu... Nakupenda
sana Mama angu... Mama Nasibu...
Instagram Photos · 21 minutes
ago ·
ukavipata vingine, lakini Kamwe
huwezi kupata Mama Mwingine...
hivyo Tuwapende na Kuwaheshim
sana Mamazetu kwani siku
tukiwapoteza hatuto pata mwingine
kamwe! Na hata vitabu tukufu
vinatuambia Pepo ziko chini ya
nyayo za wazazi wetu... Nakupenda
sana Mama angu... Mama Nasibu...
Instagram Photos · 21 minutes
ago ·