mapenzi ya Diamond kwa mama ake,huu ndo ujumbe wake kwa wote

mapenzi ya Diamond kwa mama ake,huu ndo ujumbe wake kwa wote

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
Vingi unaweza kuvipoteza na
ukavipata vingine, lakini Kamwe
huwezi kupata Mama Mwingine...
hivyo Tuwapende na Kuwaheshim
sana Mamazetu kwani siku
tukiwapoteza hatuto pata mwingine
kamwe! Na hata vitabu tukufu
vinatuambia Pepo ziko chini ya
nyayo za wazazi wetu... Nakupenda
sana Mama angu... Mama Nasibu...
Instagram Photos · 21 minutes
ago ·
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1361229618697.jpg
    uploadfromtaptalk1361229618697.jpg
    84.4 KB · Views: 263
Ingekuwa pouwa sana kama domond angekupa kaz ya kuwa msemaj wake, i think atakuw amempiga ngoz dada ako

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Vingi unaweza kuvipoteza na
ukavipata vingine, lakini Kamwe
huwezi kupata Mama Mwingine...
hivyo Tuwapende na Kuwaheshim
sana Mamazetu kwani siku
tukiwapoteza hatuto pata mwingine
kamwe! Na hata vitabu tukufu
vinatuambia Pepo ziko chini ya
nyayo za wazazi wetu... Nakupenda
sana Mama angu... Mama Nasibu...
Instagram Photos · 21 minutes
ago ·

Nahisi wewe ni shee na nahisi kashakumega
 
Diamond Diamond Diamond Diamond,bilashaka anakupumulia kichogoni
 
kwan kumkubari or kumpenda diiamond mpka uwe shee?nyie mat..ko nn
 
kwan kumkubari or kumpenda diiamond mpka uwe shee?nyie mat..ko nn

Unachonifurahisha matumizi ya R na L ni failure,hizi shule za kata ni janga la taifa usiniambie unatoka Mara kwa sababu watu wa huko hawana shobo wala udananda kama wewe.
 
Back
Top Bottom