cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,800
ukikutana na gamba la kobe, kauzu kuzidi kauzu yenyewe, nakwambia hata uka-do naye chini ya bahari na kuimba ala kupita za elton john, HABADILIKI NG'O! ndivyo walivyo wakupenda kutetemekewa! lol!Cha kufanya mfurahishe sku moja hasa uwanjan, katikati ya mech mueleze kwa upole na kimahaba kuwa hupendezwi na tabia yake, mwambie kila mtu ana mapungufu na mtu akikosea asisite kukir kosa na kuomba msamaha ikishindikana, Panga sku moja mtoe out au mfanyie suprise katikat ya furaha mweleze kila kitu mwambie unampenda na unamuomba si lazma ila ni vizur kwa uhai wa penz lenu hapo atakuelewa, best wishes beloved