Mapenzi ya house girl

Hakuna lolote....hayo maamuzi mnayakosa kwa mahausi girls tu?
sa kama **** zinafanya muwe na maamuzi ya kijinga basi hazina faida
Duh! ila haya maamuzi yanaweza kuleta madhara makubwa.
upande wa pili maana walalamikaji kwamba hawatendewi
haki kwenye ndoa hicho unachosema hakina maana ni jinsia ya 'Ke'
sasa hiyo unayosema hakuna maana si unaona malalamiko yataongezeka.

Ila hayo uliyosema yamenitosha maana....
 

Mkuu wewe ni mtu wa Mungu, nini tena kimekusibu mpaka uanze kuonja kwa house girl.
 
Siyo kweli kwamba wanaridhika na buku, bali mnakuwa wengi mnaochanga hizo bukubuku maana wao hupigwa chapchap kila kona.
Umenikumbusha aiseee ....kumbe ukidhani yy mjinga na yy anakuona f.a.l.a
 
Khaa!!! Sasa kama HG anawahudumia watoto at the best what do u expect... Nimeshindwa
 
Mtakuja kufa vinywa wazi,Pendeni wake zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…