Mapenzi ya house girl

Mapenzi ya house girl

Hakuna lolote....hayo maamuzi mnayakosa kwa mahausi girls tu?
sa kama **** zinafanya muwe na maamuzi ya kijinga basi hazina faida
Duh! ila haya maamuzi yanaweza kuleta madhara makubwa.
upande wa pili maana walalamikaji kwamba hawatendewi
haki kwenye ndoa hicho unachosema hakina maana ni jinsia ya 'Ke'
sasa hiyo unayosema hakuna maana si unaona malalamiko yataongezeka.

Ila hayo uliyosema yamenitosha maana....
 
Jamani hawa ni watu wa hali ya chini lakini wana mapenzi ya dhati tofauti na hawa wadada wengine.Hawachuni sana ani ukiwapa buku wanaridhika.Wanajua kutunza na ndo mana unakuta hata mama mwenye nyumba anaibiwa mume.Tena hawa wanawake wanaochati Facebook wanakua hawana mda wa kuwajali waume zao make mda wote kubofya Smartphone.

Mkuu wewe ni mtu wa Mungu, nini tena kimekusibu mpaka uanze kuonja kwa house girl.
 
Khaa!!! Sasa kama HG anawahudumia watoto at the best what do u expect... Nimeshindwa
 
Mtakuja kufa vinywa wazi,Pendeni wake zenu.
 
Back
Top Bottom