huu mwingine sina shaka ni u agent wa shetani. hiivi kwa nini hatukuumbwa na vyote!! kile cha kuweka na kile cha kuwekewa!!??
Ndio mzee
sio kazi yetu
kum judge mtu yeyote
Tunaweza tusipende vitu watu
wanavyofanya lakini hatuna haki yeyote
Ya kumshutumu.. hata dini zenyewe zina sema
tupendane .. Binafsi Nina marafiki wengi wa namna hiyo
wakike na wa kiume.. nilichojifunza ni kumuheshimu mtu
Na kumsaidia akiwa na tatizo .. yaliyobakia ni Mungu pekee
Anayafahamu na yeye ndo anayejua adhabu zetu..
anzisha chama cha kutetea mashoga na wasagaji utasikika zaidi na utakuwa maarufu sana kuliko hapa JF
Ona wenzako kule marekani,na juzi kati hapa kenya,....
Tena mda huu wa kuandika katiba,utauza sura kweli
huu mwingine sina shaka ni u agent wa shetani. hiivi kwa nini hatukuumbwa na vyote!! kile cha kuweka na kile cha kuwekewa!!??
Kumbuka hawa ni binadamu kama wewe! hao ni maumbile tu ,kama ni tabia bado ni sehemu ya jamii wewe upo dunia ipi na unajua asili yako nni!Nawe ni miongoni mwao?
Jmbo gani Dena haya ni mabo yaliyopo duniani hatuwezi kukwepa kuyajadili !hakuna sbb ya kuwa waoga tunawaogopamafisadi NA HAYA TUKAE KIMYA!Wewe una lako jambo.......................sio bure kabisa ....................
Huwa najiuliza hii kuwasakama watu wanafanya mapenzi ya jinsia moja wanasakwamwa kwa lipi!kama wao wanapenda na wahaingillii faragha ya mtu /watu wengine!
Kama ni dini mbona dini imekataza mambo mengi na bado mengi hayafuatwi,!
Au tunachagua dhambi
Labda kama issue ni bayolojia hapo pana mshiko!lakini kama wao hawaoni tatizo sisi yatuwashia nn!
hivi wewe hauoni kwamba wanaume wakiwa mabwabwa wanasababisha bei za lipustiki na make up kuongezeka halaf gharama zinaongezeka majumbani kwetu sisi ma ATM marijali kuwahudumia mawaifu zetu?, think! mjomba think!Huwa najiuliza hii kuwasakama watu wanafanya mapenzi ya jinsia moja wanasakwamwa kwa lipi!kama wao wanapenda na wahaingillii faragha ya mtu /watu wengine!
Kama ni dini mbona dini imekataza mambo mengi na bado mengi hayafuatwi,!
Au tunachagua dhambi
Labda kama issue ni bayolojia hapo pana mshiko!lakini kama wao hawaoni tatizo sisi yatuwashia nn!
Ndio mzee
sio kazi yetu
kum judge mtu yeyote
Tunaweza tusipende vitu watu
wanavyofanya lakini hatuna haki yeyote
Ya kumshutumu.. hata dini zenyewe zina sema
tupendane .. Binafsi Nina marafiki wengi wa namna hiyo
wakike na wa kiume.. nilichojifunza ni kumuheshimu mtu
Na kumsaidia akiwa na tatizo .. yaliyobakia ni Mungu pekee
Anayafahamu na yeye ndo anayejua adhabu zetu..
mkuu halaf hata vitoto vya shule si vinarizia wenyewe kupewa dozi na mapedeshee, sasa kwanini tusiviachie vikaenjoy tu?, hii freedom ina limit bana. nimekugongea like, acha niludi kugonga na senks.Heshima ni jambo la muhimu kwa binadamu yeyote. Lakini kuna vitendo vingeno kamwe havitaweza kukubalika katika jamii kwa sababu tu kwamba wahusika wameridhia..
Nchi za watu kufanya mapenzi na Under Age (kulingana na sheria zao) ni makosa hata kama walikubaliana.
Ifike wakati ni bora uwaambie kile unachoamini kuliko kuvumilia, iko siku na wewe utajikuta umetumbukia bila kupenda
Heshima ni jambo la muhimu kwa binadamu yeyote. Lakini kuna vitendo vingeno kamwe havitaweza kukubalika katika jamii kwa sababu tu kwamba wahusika wameridhia..