Mapenzi ya jinsia mmoja tunawahukumu kwa lipi hasa!

Nakubaliana nawe
Lakini point yangu bado iko pale
pale hata hao majambazi I mean mtu
yeyote sio mmbay a ila kitu anachofanya mtu ndio
Kitu kibaya .. na watu dunia hii tunaishi na ku judge watu kwa vitu
Wanavyofanya .. which ni sawa sababu sisi ni binadamu..

Tukija kwenye point yako ya jamii
pia nakubaliana nawe ni jamii nyingi
Sana hawakubaliani na hili lakini kumbuka na yule
ni mtoto wa mtu kama familia yake inamsaport kwa yeye
kuwa homosexual shida iko wapi... wanaweza wasipende analofanya
lakini wako naye na wanamsaidia ..
Kuna wengine wanaogopa kusema ajili ya reaction ya jamii zao
Na watu kuwasuta na hao wanaishia kufanya kwa siri
Na wengine kutoa maisha yao....

Sasa kama familia yao inakubali
Haisaidii mimi kumkataza nitampa saport yangu na kuomba
Mungu isitokee kwangu na familia yangu ..lakini tunazaa
lakini hatujui tunacho zaa hatujui watakuja kuwa nini..

Nahakika hata hao majambazi, wauwaji,wabakaji n. K
wamama zao wangefurahi zaidi kama wangukuwa madocto r mapilot
mj. .. lakini haikutokea hivyo ...
Nimependa sana points zako. Huwa ninajiuliza wale wanaokataa uwepo wa ushoga na usagaji, ikiwa itatokea mtoto wako yuko katika hali kama hiyo, utaamua nini? Kumwachia radhi na kumfukuza nyumbani? Iwe ni kwa sababu ya kibaolojia (mimi naiamini hii zaidi) au kimazowea, likitokea linatokea na hakuna dawa wala uganga kwa sababu ni sehemu ya tabia. Utamkataza, utamgomba, utampiga... matokeo yake ama atajidai kujirekebisha hadharani lakini ndani ya nafsi yake bado ni shoga/msagaji. Akiweza kuvumilia shinikizo la wazazi na jamii atafanya kwa siri, asipoweza kuvumilia atajiua. Ninayo mifano miwili ya karibuni, toka kwa marafiki zangu wa zaidi ya miaka 20 sasa. Kwa muda wa miaka 16 sikujua kama ni mashoga na hakuna yeyote katika kundi la marafiki alijua zaidi ya wazazi wao, na wao wamekubaliana na hali halisi, wafanye nini?
Kwa wale wanaoamini kuwa malezi yanasaidia, tujitahidi kuwalea na kuomba Mungu watoto wetu wasijekuwa tusivyotaka.
 
Mimi ninachokiona hapa, kuna misimamo mitatu:
Msimamo wa kwanza wa kidini, kama alivyosema mtoa mada, tunachagua madhambi, dhambi gani nzuri na dhambi gani mbaya. Watu wa dini zote, turejee tena kwenye AMRI KUMI (na pengine zaidi) za Mungu. Ni ngapi tunazisigina hivi hivi bila kujali. Mfano, dini zote zimekataza zinaa, mbona tunazini? Hivi Mungu atamsamehe anayezini kwa mbele na kumwadhibu anayezini kwa nyuma, au wanaozini wanaume kwa wanawake na kuwaadhibu wanaozini wanaume kwa wanaume/wanawake kwa wanawake?
Msimamo wa pili wa kimaadili, tukubali kuwa mambo ya "gays & lesbians" yalikuwepo tangu enzi za mitume na hakuna hata jamii moja iliyoyakubali. Tafauti ya zamani na sasa ni kuwa mwanzo walifanya siri na sasa wanafanya dhahiri na kujitangaza. Jamii zenye wavumilivu, wanavumiliwa, jamii zisizo wavumilivu, wanakataliwa. Binafsi ninao marafiki wngi wanaume na wanawake na ninawaheshimu. Sio mimi wa kuwahukumu. Silifurahii lakini silipingi.
Msimamo wa tatu wa kiliberali, unafana na ule wa mwanzo na wa pili ambapo kila mtu anachagua kuvumilia au kuchukia aina ya dhambi au tendo. Kwa wengine bia halali lakini gongo haramu; ukahaba dhambi lakini nyumba ndogo haramu; kwa wengine ukahaba halali, lakini ushoga na usagaji haramu; sigara halali lakini bangi haramu. Baadhi ya wakuu wetu wa kijamii, kidini na kisiasa, utawasikia wako mbele kukemea "matendo maovu, ya shetani" hadharani lakini pembeni wanaiba, wanaua, wanazini hata kinyuume ya maumbile, wanasema uongo n.k. Mimi ninachosema, kwa kufuata kauli ya Yesu, "Ikiwa yupo msafi asiye na dhambi awe wa mwanzo kumlengea jiwe mwenye dhambi".
Ubarikiwe mkuu
Kweli you are a great thinker..
umesema kila kitu ..
Ok usiku mwema thread imeisha..
 
Nimependa sana points zako. Huwa ninajiuliza wale wanaokataa uwepo wa ushoga na usagaji, ikiwa itatokea mtoto wako yuko katika hali kama hiyo, utaamua nini? Kumwachia radhi na kumfukuza nyumbani? Iwe ni kwa sababu ya kibaolojia (mimi naiamini hii zaidi) au kimazowea, likitokea linatokea na hakuna dawa wala uganga kwa sababu ni sehemu ya tabia. Utamkataza, utamgomba, utampiga... matokeo yake ama atajidai kujirekebisha hadharani lakini ndani ya nafsi yake bado ni shoga/msagaji. Akiweza kuvumilia shinikizo la wazazi na jamii atafanya kwa siri, asipoweza kuvumilia atajiua. Ninayo mifano miwili ya karibuni, toka kwa marafiki zangu wa zaidi ya miaka 20 sasa. Kwa muda wa miaka 16 sikujua kama ni mashoga na hakuna yeyote katika kundi la marafiki alijua zaidi ya wazazi wao, na wao wamekubaliana na hali halisi, wafanye nini?
Kwa wale wanaoamini kuwa malezi yanasaidia, tujitahidi kuwalea na kuomba Mungu watoto wetu wasijekuwa tusivyotaka.
Tatizo tulilo kuwa nalo
binadamu ni kwamba we to quick to
Judge and point finger s. . hatufikirii kama hii
inweza kutokea kwetu, au tayari ipo kalini hAkuna
Ajuaye .. tunachowaza sisi ni kwa fulani tu ..
Jamani Mungu hana makosa anaangalia tu reaction
zetu towards hawa watu.. sijui tutajibu nini mbele zake
sawa labda hawa wanaenda kinyume na maneno yake
.. Je na sisi tunafanya sawa kwa kuwatenga au kuona
Wanamakosa kuliko sisi..?
 
Nimependa sana points zako. Huwa ninajiuliza wale wanaokataa uwepo wa ushoga na usagaji, ikiwa itatokea mtoto wako yuko katika hali kama hiyo, utaamua nini? Kumwachia radhi na kumfukuza nyumbani? Iwe ni kwa sababu ya kibaolojia (mimi naiamini hii zaidi) au kimazowea, likitokea linatokea na hakuna dawa wala uganga kwa sababu ni sehemu ya tabia. Utamkataza, utamgomba, utampiga... matokeo yake ama atajidai kujirekebisha hadharani lakini ndani ya nafsi yake bado ni shoga/msagaji. Akiweza kuvumilia shinikizo la wazazi na jamii atafanya kwa siri, asipoweza kuvumilia atajiua. Ninayo mifano miwili ya karibuni, toka kwa marafiki zangu wa zaidi ya miaka 20 sasa. Kwa muda wa miaka 16 sikujua kama ni mashoga na hakuna yeyote katika kundi la marafiki alijua zaidi ya wazazi wao, na wao wamekubaliana na hali halisi, wafanye nini?
Kwa wale wanaoamini kuwa malezi yanasaidia, tujitahidi kuwalea na kuomba Mungu watoto wetu wasijekuwa tusivyotaka.
Amenib tumwombe Mungu atupe uvumilivu na kukwepa kukhukumu,ahsante sana.
 
Mie hat hukuni offend
thank you..

Kwa jinsi mi ninavyofikirini hivi
Mtu kama hafanyi kitu kinacHoumiza watu wengine
kuna shida gani?
I mean kuumiza watu physical au mentality..
hao sijui wauwaji, wabakaji hao wasiruhusiwe kwenye
community.. lakini homosexual wenyewe ni wao na
familia zao ndo wanapitia.. kwa ninaowafahamu
ni watu waliokubalika kwenye jamii yao..

Sanasana tinachoogopa
ni watoto wetu kufanya mambo kama hayo
kwa sababu jamii zingine hazikubali lakini ukimfundisha
mwanao hatayafuata hata aishi nao..

Ok tukija kwenye point
ya Mungu ..
Mungu kamuumba kila binadamu kwa madhumuni yake
Hata j
haowauwaji na wabakaji wametoka kwake
ila choice ya vitu tunavyofanya hapa duniani ndo kitu
muhimu kwake .. tunaweza kusema Homosexual niwatu wa baya
lakini kwa mimi sioni mtu mmbaya ila vitu wanavyofanya ndo vibaya..
na hicho kitu kama hakimuumizi mtu yeyote sioni
ubaya wake....

Nakuona kama vile na wewe unaelekea huko huko aliko huyo rafiki yako, unajaribu kuhalalisha mambo anayofanya rafiki yako. Unasema kwa vile ni kwa raha zao hawana budi kunyooshewa kidole ......Nadhani mambo mengine ni ya kuiga tu siyo culture zetu. Ulimbukeni wa watu ndo unafanya jamii tunayoishi kubadilika kwa kasi kuelekea huko kusiko. Unasema kwenye jamii unayoishi Ushoga na Usagaji umekubalika katika jamii...wapi huko? Hata huko US ambako baadhi ya states (LA for example) zimeruhusu bado kuna watu walikuwa wanaandamana kupinga mashoga na Wasagaji kama rafi yako wasiruhusiwe kuowana.

Hapo hapo unakuwa na wasiwasi juu ya watoto tunaowazaa kuiga hizo tabia za kishetani (eti utawafundisha lol!) wasizifuate, unafikili wanaofanya hayo mambo walikuwa hawajakanywa na wazazi wao? Watu wanapinga huo ushetani wanajuwa kuelimisha watoto tu (wazazi) nyumbani hakutoshi bali kujaribu kutokomeza hizo tabia. Kwa nini usione sawa tu kijana/mtoto wako kuwa shoga kama hiyo tabia haaikupi kichefuchefu?

Mambo ys Usagaji ni mambo ya kuiga tu wala haman kitu kingine, huwezi kunambia mwanamke mwenzako anaweza kukuna Ipasavyo (Kibilogia) kuliko kidume ambaye Mungu aliamini anaweza kuifanya hiyo shughuri na kumuweka kwa ajiri jinsia nyingine.

Unasema Wasagaji siyo watu wabaya bali tabia zao tu ndo zinazoleta kinyaa lol.... Mti mzuri ujulikana kwa matunda yake Afrodenzi, huwezi kutenganisha tabia ya mtu na mtu mwenyewe ....... Useme huyo mdada ni mtu mzuri ila Uongo wake tu ndo mbaya, haiwezekani. Umagharibi utawagharimu wengi.
 
umesema zote ni dhambi hiyo nikweli lakini kuna dhambi ambazo ni zaidi ya dhambi yani ni laana na watu wanazozitenda wamelaaniwa.unajua kilichomuzi Mungu hadi kuiteketeza sodoma,we unaweza ukasimama mbele ya jamii ukaongea huo upuzi kama unaona ni sawa?
 
Huwa najiuliza hii kuwasakama watu wanafanya mapenzi ya jinsia moja wanasakwamwa kwa lipi!kama wao wanapenda na wahaingillii faragha ya mtu /watu wengine!
Kama ni dini mbona dini imekataza mambo mengi na bado mengi hayafuatwi,!
Au tunachagua dhambi
Labda kama issue ni bayolojia hapo pana mshiko!lakini kama wao hawaoni tatizo sisi yatuwashia nn!
shida kama haipo anza kampeni ya kuhimiza mapenz ya jinsia1,af uanze kumshauri BABA YAKO amuche mama yako atafute mwanaume ambae atampata raha,af uhimize pia ukoo wako ili iwe mfano mzuri wa kuigwa,mana kwako co tatizo kua na mapenz ya jinsia1.
 
umesema zote ni dhambi hiyo nikweli lakini kuna dhambi ambazo ni zaidi ya dhambi yani ni laana na watu wanazozitenda wamelaaniwa.unajua kilichomuzi Mungu hadi kuiteketeza sodoma,we unaweza ukasimama mbele ya jamii ukaongea huo upuzi kama unaona ni sawa?
Ulishawahi kusoma kidogo watalaamu wanasema nn kuhusu tabia hizi .....Hivi unafikiri sodoma na gomora ilikuwa nn unauhakika wewe,ndugu yako,jirani ,mwenza wakazi wote hao wanatofauti na masimulizi hayo ya Sodoma !Usiishi kwenye dunia ya kufikirika ishi kwenye jamii uliyopo kama hujui jieleimisha.
 
Mimi ninachokiona hapa, kuna misimamo mitatu:
Msimamo wa kwanza wa kidini, kama alivyosema mtoa mada, tunachagua madhambi, dhambi gani nzuri na dhambi gani mbaya. Watu wa dini zote, turejee tena kwenye AMRI KUMI (na pengine zaidi) za Mungu. Ni ngapi tunazisigina hivi hivi bila kujali. Mfano, dini zote zimekataza zinaa, mbona tunazini? Hivi Mungu atamsamehe anayezini kwa mbele na kumwadhibu anayezini kwa nyuma, au wanaozini wanaume kwa wanawake na kuwaadhibu wanaozini wanaume kwa wanaume/wanawake kwa wanawake?
Msimamo wa pili wa kimaadili, tukubali kuwa mambo ya "gays & lesbians" yalikuwepo tangu enzi za mitume na hakuna hata jamii moja iliyoyakubali. Tafauti ya zamani na sasa ni kuwa mwanzo walifanya siri na sasa wanafanya dhahiri na kujitangaza. Jamii zenye wavumilivu, wanavumiliwa, jamii zisizo wavumilivu, wanakataliwa. Binafsi ninao marafiki wngi wanaume na wanawake na ninawaheshimu. Sio mimi wa kuwahukumu. Silifurahii lakini silipingi.
Msimamo wa tatu wa kiliberali, unafana na ule wa mwanzo na wa pili ambapo kila mtu anachagua kuvumilia au kuchukia aina ya dhambi au tendo. Kwa wengine bia halali lakini gongo haramu; ukahaba dhambi lakini nyumba ndogo haramu; kwa wengine ukahaba halali, lakini ushoga na usagaji haramu; sigara halali lakini bangi haramu. Baadhi ya wakuu wetu wa kijamii, kidini na kisiasa, utawasikia wako mbele kukemea "matendo maovu, ya shetani" hadharani lakini pembeni wanaiba, wanaua, wanazini hata kinyuume ya maumbile, wanasema uongo n.k. Mimi ninachosema, kwa kufuata kauli ya Yesu, "Ikiwa yupo msafi asiye na dhambi awe wa mwanzo kumlengea jiwe mwenye dhambi".

Mkuu hongera kwa ufafanuzi,
Lakini ukiangalia hapa, nia ya mleta mada ni kuwa tuache kuwasakama
Huwa najiuliza hii kuwasakama watu wanafanya mapenzi ya jinsia moja wanasakwamwa kwa lipi!kama wao wanapenda na wahaingillii faragha ya mtu /watu wengine!
Kama ni dini mbona dini imekataza mambo mengi na bado mengi hayafuatwi,!
Au tunachagua dhambi
Labda kama issue ni bayolojia hapo pana mshiko!lakini kama wao hawaoni tatizo sisi yatuwashia nn!

Hivyo basi, tunawasakama kwa lipi? ubaya wao, au vitendo vyao au uanadamu wao?
Ni wazi kabisa, usagaji na ushoga bado havikubaliki katika jamii yetu ya kitanzania. Hayo maoni uliyoyatoa ni ya Ki-magharibi zaidi, ambo wana-compromise kila kitu.
Tukikuuliza wewe msimamo wako kuhusu ushoga ni upi? Je unafikiri ushoga ni halali kwa mawazo yako?
 
Nimependa sana points zako. Huwa ninajiuliza wale wanaokataa uwepo wa ushoga na usagaji, ikiwa itatokea mtoto wako yuko katika hali kama hiyo, utaamua nini? Kumwachia radhi na kumfukuza nyumbani? Iwe ni kwa sababu ya kibaolojia (mimi naiamini hii zaidi) au kimazowea, likitokea linatokea na hakuna dawa wala uganga kwa sababu ni sehemu ya tabia. Utamkataza, utamgomba, utampiga... matokeo yake ama atajidai kujirekebisha hadharani lakini ndani ya nafsi yake bado ni shoga/msagaji. Akiweza kuvumilia shinikizo la wazazi na jamii atafanya kwa siri, asipoweza kuvumilia atajiua. Ninayo mifano miwili ya karibuni, toka kwa marafiki zangu wa zaidi ya miaka 20 sasa. Kwa muda wa miaka 16 sikujua kama ni mashoga na hakuna yeyote katika kundi la marafiki alijua zaidi ya wazazi wao, na wao wamekubaliana na hali halisi, wafanye nini?
Kwa wale wanaoamini kuwa malezi yanasaidia, tujitahidi kuwalea na kuomba Mungu watoto wetu wasijekuwa tusivyotaka.

Kuna baadhi ya mambo katika jamii huwezi kuwa NEUTRAL siku zote..
 
Sodoma na Gomora zisingeangamizwa basi kama ingekuwa ni issue light kama unavyotaka wewe i-sound.
 
Kwa hiyo unataka kusema Mungu alikosea kuumba me n' ke?..pia maandiko yanasema mwanaume na mwanamke wataacha familia zao,na kwenda kuishi pamoja kama mwili mmoja,hivyo wa2 wajinsia moja kuishi pamoja si sawa,kidini,kiscience,na kijamii,so why tunapinga kwa nguvu zote,na si kweli dhambi zingine hazipingwi,au hausikilizi redio n tv uone jamii inavyopinga UFISADI,MAUAJI YA ALBINO,ubakaji,etc
 
Back
Top Bottom