MAMMAMIA
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 3,811
- 1,607
Nimependa sana points zako. Huwa ninajiuliza wale wanaokataa uwepo wa ushoga na usagaji, ikiwa itatokea mtoto wako yuko katika hali kama hiyo, utaamua nini? Kumwachia radhi na kumfukuza nyumbani? Iwe ni kwa sababu ya kibaolojia (mimi naiamini hii zaidi) au kimazowea, likitokea linatokea na hakuna dawa wala uganga kwa sababu ni sehemu ya tabia. Utamkataza, utamgomba, utampiga... matokeo yake ama atajidai kujirekebisha hadharani lakini ndani ya nafsi yake bado ni shoga/msagaji. Akiweza kuvumilia shinikizo la wazazi na jamii atafanya kwa siri, asipoweza kuvumilia atajiua. Ninayo mifano miwili ya karibuni, toka kwa marafiki zangu wa zaidi ya miaka 20 sasa. Kwa muda wa miaka 16 sikujua kama ni mashoga na hakuna yeyote katika kundi la marafiki alijua zaidi ya wazazi wao, na wao wamekubaliana na hali halisi, wafanye nini?Nakubaliana nawe
Lakini point yangu bado iko pale
pale hata hao majambazi I mean mtu
yeyote sio mmbay a ila kitu anachofanya mtu ndio
Kitu kibaya .. na watu dunia hii tunaishi na ku judge watu kwa vitu
Wanavyofanya .. which ni sawa sababu sisi ni binadamu..
Tukija kwenye point yako ya jamii
pia nakubaliana nawe ni jamii nyingi
Sana hawakubaliani na hili lakini kumbuka na yule
ni mtoto wa mtu kama familia yake inamsaport kwa yeye
kuwa homosexual shida iko wapi... wanaweza wasipende analofanya
lakini wako naye na wanamsaidia ..
Kuna wengine wanaogopa kusema ajili ya reaction ya jamii zao
Na watu kuwasuta na hao wanaishia kufanya kwa siri
Na wengine kutoa maisha yao....
Sasa kama familia yao inakubali
Haisaidii mimi kumkataza nitampa saport yangu na kuomba
Mungu isitokee kwangu na familia yangu ..lakini tunazaa
lakini hatujui tunacho zaa hatujui watakuja kuwa nini..
Nahakika hata hao majambazi, wauwaji,wabakaji n. K
wamama zao wangefurahi zaidi kama wangukuwa madocto r mapilot
mj. .. lakini haikutokea hivyo ...
Kwa wale wanaoamini kuwa malezi yanasaidia, tujitahidi kuwalea na kuomba Mungu watoto wetu wasijekuwa tusivyotaka.