Mapenzi ya jinsia mmoja tunawahukumu kwa lipi hasa!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Huwa najiuliza hii kuwasakama watu wanafanya mapenzi ya jinsia moja wanasakwamwa kwa lipi!kama wao wanapenda na wahaingillii faragha ya mtu /watu wengine!
Kama ni dini mbona dini imekataza mambo mengi na bado mengi hayafuatwi,!
Au tunachagua dhambi
Labda kama issue ni bayolojia hapo pana mshiko!lakini kama wao hawaoni tatizo sisi yatuwashia nn!
 
mmmmmmmhhhhhhh ngoja nifikirie vizur kabla sijatoa neno:A S-key:
 
Wewe una lako jambo.......................sio bure kabisa ....................
 
Ndio mzee
sio kazi yetu
kum judge mtu yeyote
Tunaweza tusipende vitu watu
wanavyofanya lakini hatuna haki yeyote
Ya kumshutumu.. hata dini zenyewe zina sema
tupendane .. Binafsi Nina marafiki wengi wa namna hiyo
wakike na wa kiume.. nilichojifunza ni kumuheshimu mtu
Na kumsaidia akiwa na tatizo .. yaliyobakia ni Mungu pekee
Anayafahamu na yeye ndo anayejua adhabu zetu..
 
huu mwingine sina shaka ni u agent wa shetani. hiivi kwa nini hatukuumbwa na vyote!! kile cha kuweka na kile cha kuwekewa!!??
 
anzisha chama cha kutetea mashoga na wasagaji utasikika zaidi na utakuwa maarufu sana kuliko hapa JF
Ona wenzako kule marekani,na juzi kati hapa kenya,....
Tena mda huu wa kuandika katiba,utauza sura kweli
 
Huh,na wewe umeanza kumkosoa Mungu jamani?
Unahisi alikosea eh?
 
Ndio mzee
sio kazi yetu
kum judge mtu yeyote
Tunaweza tusipende vitu watu
wanavyofanya lakini hatuna haki yeyote
Ya kumshutumu.. hata dini zenyewe zina sema
tupendane .. Binafsi Nina marafiki wengi wa namna hiyo
wakike na wa kiume.. nilichojifunza ni kumuheshimu mtu
Na kumsaidia akiwa na tatizo .. yaliyobakia ni Mungu pekee
Anayafahamu na yeye ndo anayejua adhabu zetu..

Umeona eeh!
 
anzisha chama cha kutetea mashoga na wasagaji utasikika zaidi na utakuwa maarufu sana kuliko hapa JF
Ona wenzako kule marekani,na juzi kati hapa kenya,....
Tena mda huu wa kuandika katiba,utauza sura kweli

Nashukuru umeona mantiki kidogo ....!
 
huu mwingine sina shaka ni u agent wa shetani. hiivi kwa nini hatukuumbwa na vyote!! kile cha kuweka na kile cha kuwekewa!!??

Huu wot eni uoga wa kuukabili ukweli!
Dunia hii ni lazima tuusimmame na kujihoji ndio maana nikauliza kama ni dini mbona tunazikomalia dhambi chache tu!
 
Nawe ni miongoni mwao?
Kumbuka hawa ni binadamu kama wewe! hao ni maumbile tu ,kama ni tabia bado ni sehemu ya jamii wewe upo dunia ipi na unajua asili yako nni!
 
Wewe una lako jambo.......................sio bure kabisa ....................
Jmbo gani Dena haya ni mabo yaliyopo duniani hatuwezi kukwepa kuyajadili !hakuna sbb ya kuwa waoga tunawaogopamafisadi NA HAYA TUKAE KIMYA!
 
Huwa najiuliza hii kuwasakama watu wanafanya mapenzi ya jinsia moja wanasakwamwa kwa lipi!kama wao wanapenda na wahaingillii faragha ya mtu /watu wengine!
Kama ni dini mbona dini imekataza mambo mengi na bado mengi hayafuatwi,!
Au tunachagua dhambi
Labda kama issue ni bayolojia hapo pana mshiko!lakini kama wao hawaoni tatizo sisi yatuwashia nn!

usitake kuhalalisha kila kitu kwa ku-compromise kiasi hiki.

hapo kwenye red: mzazi akipenda kumtoa roho mwanae utachukulia kuwa ni sawa kwa sababu tu ni mwanae?
Hivi wewe unakubaliana na mauaji ya namna yoyote kisa tu mtu amehalalisha uuaji wake? Je wewe utakubaliana na MWIZI au Jambazi kwa sababu tu ametoa sababu za uwizi au ujambazi wake?
Kushiriki mapenzi ya jinsia ni kosa kama ilivyo makosa mengine ya uuaji, wizi, na mengineyo..

Eti kwa sababu vitendo vingine ambavyo vimekatazwa na dini havikemewi kwa nguvu basi ndo iwe sababu ya ku-justify uzinzi wa jinsia moja??
Na kuna dhambi Mungu anazishughulikia hapa hapa dunia, kumbuka sodoma na gomora,

Hebu kaa chini na ufikirie upya
 
Huwa najiuliza hii kuwasakama watu wanafanya mapenzi ya jinsia moja wanasakwamwa kwa lipi!kama wao wanapenda na wahaingillii faragha ya mtu /watu wengine!
Kama ni dini mbona dini imekataza mambo mengi na bado mengi hayafuatwi,!
Au tunachagua dhambi
Labda kama issue ni bayolojia hapo pana mshiko!lakini kama wao hawaoni tatizo sisi yatuwashia nn!
hivi wewe hauoni kwamba wanaume wakiwa mabwabwa wanasababisha bei za lipustiki na make up kuongezeka halaf gharama zinaongezeka majumbani kwetu sisi ma ATM marijali kuwahudumia mawaifu zetu?, think! mjomba think!
 
Ndio mzee
sio kazi yetu
kum judge mtu yeyote
Tunaweza tusipende vitu watu
wanavyofanya lakini hatuna haki yeyote
Ya kumshutumu.. hata dini zenyewe zina sema
tupendane .. Binafsi Nina marafiki wengi wa namna hiyo
wakike na wa kiume.
. nilichojifunza ni kumuheshimu mtu
Na kumsaidia akiwa na tatizo
.. yaliyobakia ni Mungu pekee
Anayafahamu na yeye ndo anayejua adhabu zetu..

Heshima ni jambo la muhimu kwa binadamu yeyote. Lakini kuna vitendo vingeno kamwe havitaweza kukubalika katika jamii kwa sababu tu kwamba wahusika wameridhia..
Nchi za watu kufanya mapenzi na Under Age (kulingana na sheria zao) ni makosa hata kama walikubaliana.
Ifike wakati ni bora uwaambie kile unachoamini kuliko kuvumilia, iko siku na wewe utajikuta umetumbukia bila kupenda
 
mkuu halaf hata vitoto vya shule si vinarizia wenyewe kupewa dozi na mapedeshee, sasa kwanini tusiviachie vikaenjoy tu?, hii freedom ina limit bana. nimekugongea like, acha niludi kugonga na senks.
 
na wanaojifanya je? hao tuweke kundi gani? maana mungu hajaamrisha toys, punyeto n.k
 
Heshima ni jambo la muhimu kwa binadamu yeyote. Lakini kuna vitendo vingeno kamwe havitaweza kukubalika katika jamii kwa sababu tu kwamba wahusika wameridhia..
Nchi za watu kufanya mapenzi na Under Age (kulingana na sheria zao) ni makosa hata kama walikubaliana.
Ifike wakati ni bora uwaambie kile unachoamini kuliko kuvumilia, iko siku na wewe utajikuta umetumbukia bila kupenda

Nadhani tunaongelea
Homasexual hapa
Na mimi point yangu inalenga kwaO

Ikija topic ya kufanya sex na
Watoto walio under age nita react nakujibu
Ipasavyo..
 
Mtu kupenda kitu na yeye kukifurahia hakukihalalishi hicho kitu.Unaposema mbona tunafanya mambo mengine tusiyotakiwa kufanya kwani hayo mambo yamekubalika na kuhalalishwa.Kuna wanaopenda kubaka..kuiba..kuua..na mengine ya ajabu.Sasa hawa nao wahalalishiwe wanayofanya kwasababu wao wanapenda?Wanawake watoe mimba kwa wingi kwasababu ni zao?Mungu angetaka mapenzi ya jinsia moja angeumba wanaume tu..wanawake tu au angewezesha jinsia moja kuzalishana ili wote tukiangukia kwenye hilo kizazi kiendelee.
 
Back
Top Bottom