Kaka Mpendwa
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 772
- 415
Nadhani tunaongelea
Homasexual hapa
Na mimi point yangu inalenga kwaO
Ikija topic ya kufanya sex na
Watoto walio under age nita react nakujibu
Ipasavyo..
Tofauti hapa ni namna tunavyo hukumu watenda shambi hii kama vile ndio dhambi kubwa kuliko zote! mbona wanasayansi wamethibitisha kuwa baadhi ya matendo haya ni sababu za kimaumbile hapo napo unasemaje!Mungu ganai aliyewaumba hawa au ndio ...kazi ya shetani!Mtu kupenda kitu na yeye kukifurahia hakukihalalishi hicho kitu.Unaposema mbona tunafanya mambo mengine tusiyotakiwa kufanya kwani hayo mambo yamekubalika na kuhalalishwa.Kuna wanaopenda kubaka..kuiba..kuua..na mengine ya ajabu.Sasa hawa nao wahalalishiwe wanayofanya kwasababu wao wanapenda?Wanawake watoe mimba kwa wingi kwasababu ni zao?Mungu angetaka mapenzi ya jinsia moja angeumba wanaume tu..wanawake tu au angewezesha jinsia moja kuzalishana ili wote tukiangukia kwenye hilo kizazi kiendelee.
ndio maana samtaimu najipakazia wewe ni galfriend wangu, yaani umemwaga mapointi kuliko rais wa bukina faso.Mtu kupenda kitu na yeye kukifurahia hakukihalalishi hicho kitu.Unaposema mbona tunafanya mambo mengine tusiyotakiwa kufanya kwani hayo mambo yamekubalika na kuhalalishwa.Kuna wanaopenda kubaka..kuiba..kuua..na mengine ya ajabu.Sasa hawa nao wahalalishiwe wanayofanya kwasababu wao wanapenda?Wanawake watoe mimba kwa wingi kwasababu ni zao?Mungu angetaka mapenzi ya jinsia moja angeumba wanaume tu..wanawake tu au angewezesha jinsia moja kuzalishana ili wote tukiangukia kwenye hilo kizazi kiendelee.
ndio maana samtaimu najipakazia wewe ni galfriend wangu, yaani umemwaga mapointi kuliko rais wa bukina faso.
Elewa neno mazoea!Wizi umezoeleka..japo haukubaliki.Mapenzi ya jinsia moja bado sisi hatujayazoea na watu wanajaribu kustopisha kabla nayo haijazoeleka ndo maana unaona kama inakandiwa sana.Hata kwenye biblia tumewekewa amri za nini tusifanye ila ya mahusiano ya jinsia moja hamna maana hata Mungu hakutegemea kwamba tutaharibika kiasi hicho!Tofauti hapa ni namna tunavyo hukumu watenda shambi hii kama vile ndio dhambi kubwa kuliko zote!
dah! haipo tena?, itakuwa Biharusi katekwa nyara. inamaa halusi imehairishwa. dah! sorry mleta mada bana kwa hii ofutopik hakyanani haturudii tena.duh...mkuu ile TOPIC ya BROKEN HEART na LD ma-mod wameipeleka wapi?? duh..hawa jamaa utafikiri magaidi...offtopic
ndio maana samtaimu najipakazia wewe ni galfriend wangu, yaani umemwaga mapointi kuliko rais wa bukina faso.
dah! haipo tena?, itakuwa Biharusi katekwa nyara. inamaa halusi imehairishwa. dah! sorry mleta mada bana kwa hii ofutopik hakyanani haturudii tena.
:focus:
nimetoa mfano huo, kwa sababu mantiki ni ile ile ya watu kuachwa wafanye wanavyotaka kwa sababu tu wameridhia au wanaona ni halali kwao.
Naheshimu uhuru wa kila mtu kufanya apendacho, lakini kuna mipaka,.Kama Lizzy alivyosema hapo juu, kama ingekuwa homosexual ni dili, basi angeumba watu wanawake tu au wanaume tu..
sorry kama nimeku-offend, lakini nilikuwa naangalia your thinking
Mie hat hukuni offend
thank you..
Kwa jinsi mi ninavyofikirini hivi
Mtu kama hafanyi kitu kinacHoumiza watu wengine
kuna shida gani?
I mean kuumiza watu physical au mentality..
hao sijui wauwaji, wabakaji hao wasiruhusiwe kwenye
community.. lakini homosexual wenyewe ni wao na
familia zao ndo wanapitia.. kwa ninaowafahamu
ni watu waliokubalika kwenye jamii yao..
Sanasana tinachoogopa
ni watoto wetu kufanya mambo kama hayo
kwa sababu jamii zingine hazikubali lakini ukimfundisha
mwanao hatayafuata hata aishi nao..
Ok tukija kwenye point
ya Mungu ..
Mungu kamuumba kila binadamu kwa madhumuni yake
Hata j
haowauwaji na wabakaji wametoka kwake
ila choice ya vitu tunavyofanya hapa duniani ndo kitu
muhimu kwake .. tunaweza kusema Homosexual niwatu wa baya
lakini kwa mimi sioni mtu mmbaya ila vitu wanavyofanya ndo vibaya..
na hicho kitu kama hakimuumizi mtu yeyote sioni
ubaya wake....
I'M NO ONE TO JUDGE ANY ONE..
Hopeful nimekujibu..
AD what is going on here?????......
Tunaongelea kuhusu homosexual
mkuu halaf hata vitoto vya shule si vinarizia wenyewe kupewa dozi na mapedeshee, sasa kwanini tusiviachie vikaenjoy tu?, hii freedom ina limit bana. nimekugongea like, acha niludi kugonga na senks.
Klorokwini na mwenzako hapa argument yenu inakosa mashiko..... suala la under age liko hivi.
nadhani mleta hoja ameleta a good topic for dicsussion tuwe objective kila mmoja atoa pointi zake akieleza anaegemea wapi kupinga au kukubali. Ipo mitazamo mingi (katika kupinga na kukubali); dini, baolojia, Sheria za nchi n.k tuache kutoa matusi na kuita watu majina kama bwabwa, choko nk...hii ni stigma (unyanyapaa). Nitarudi baadae na mimi nitoa hoja zangu kupinga u kukubali....
Uko sawa kutokana na unacho amini..
Hapo kwenye RED, bado suala ni lile lile, kwa sababu tu majambazi hawajavamia kwako, basi ni sawa tu; Kama inaweza kumuathiri binadamu mwingine, basi kuna siku na wewe utaathirika kwa namna moja ama nyingine!
'kwa sababu hili jambo linahusiana na kupata raha' haimaanishi kwamba sio kosa
Najua uuaji au ujambazi unaweza kusababisha umwagaji wa damu, ndo maana unaweza kuonekana una madhara ya moja kwa moja..
Kwa kweli licha ya dini tu kukataza, pia jamii zetu nyingi hazikulia katika mazingira kama haya; kwa sababu ni kinyume na asili (nature).
Nakubaliana nawe
Lakini point yangu bado iko pale
pale hata hao majambazi I mean mtu
yeyote sio mmbay a ila kitu anachofanya mtu ndio
Kitu kibaya .. na watu dunia hii tunaishi na ku judge watu kwa vitu
Wanavyofanya .. which ni sawa sababu sisi ni binadamu..
Tukija kwenye point yako ya jamii
pia nakubaliana nawe ni jamii nyingi
Sana hawakubaliani na hili lakini kumbuka na yule
ni mtoto wa mtu kama familia yake inamsaport kwa yeye
kuwa homosexual shida iko wapi... wanaweza wasipende analofanya
lakini wako naye na wanamsaidia ..
Kuna wengine wanaogopa kusema ajili ya reaction ya jamii zao
Na watu kuwasuta na hao wanaishia kufanya kwa siri
Na wengine kutoa maisha yao....
Sasa kama familia yao inakubali
Haisaidii mimi kumkataza nitampa saport yangu na kuomba
Mungu isitokee kwangu na familia yangu ..lakini tunazaa
lakini hatujui tunacho zaa hatujui watakuja kuwa nini..
Nahakika hata hao majambazi, wauwaji,wabakaji n. K
wamama zao wangefurahi zaidi kama wangukuwa madocto r mapilot
mj. .. lakini haikutokea hivyo ...
Dahhhh afadhalinimekuelewa...kwamba tuwapende. yah, kama sehemu ya jamii na wao ni binadamu wanastahili kupendwa. hakuna anayependa mtoto au ndugu yake awe jambazi.
Nimefurahi tu kujua tu kwamba haukubaliani na kitendo chenyewe!
Tatizo langu mimi ninajaribu kufikiri kwa njia ya tofauti,kwamba si vizuri ku-justfy homosexuality kwa sababu tu dhambi nyingine hazikemwei sana. Nadhani dhambi ni dhambi tu haijalishi nani kafanya, au imefanywa wapi.
Labda swala la hapa ni kwanini tunataka kuhalalisha homosexuality??