Uko sawa kutokana na unacho amini..
Hapo kwenye RED, bado suala ni lile lile, kwa sababu tu majambazi hawajavamia kwako, basi ni sawa tu; Kama inaweza kumuathiri binadamu mwingine, basi kuna siku na wewe utaathirika kwa namna moja ama nyingine!
'kwa sababu hili jambo linahusiana na kupata raha' haimaanishi kwamba sio kosa
Najua uuaji au ujambazi unaweza kusababisha umwagaji wa damu, ndo maana unaweza kuonekana una madhara ya moja kwa moja..
Kwa kweli licha ya dini tu kukataza, pia jamii zetu nyingi hazikulia katika mazingira kama haya; kwa sababu ni kinyume na asili (nature).
Nakubaliana nawe
Lakini point yangu bado iko pale
pale hata hao majambazi I mean mtu
yeyote sio mmbay a ila kitu anachofanya mtu ndio
Kitu kibaya .. na watu dunia hii tunaishi na ku judge watu kwa vitu
Wanavyofanya .. which ni sawa sababu sisi ni binadamu..
Tukija kwenye point yako ya jamii
pia nakubaliana nawe ni jamii nyingi
Sana hawakubaliani na hili lakini kumbuka na yule
ni mtoto wa mtu kama familia yake inamsaport kwa yeye
kuwa homosexual shida iko wapi... wanaweza wasipende analofanya
lakini wako naye na wanamsaidia ..
Kuna wengine wanaogopa kusema ajili ya reaction ya jamii zao
Na watu kuwasuta na hao wanaishia kufanya kwa siri
Na wengine kutoa maisha yao....
Sasa kama familia yao inakubali
Haisaidii mimi kumkataza nitampa saport yangu na kuomba
Mungu isitokee kwangu na familia yangu ..lakini tunazaa
lakini hatujui tunacho zaa hatujui watakuja kuwa nini..
Nahakika hata hao majambazi, wauwaji,wabakaji n. K
wamama zao wangefurahi zaidi kama wangukuwa madocto r mapilot
mj. .. lakini haikutokea hivyo ...