Mapenzi ya jinsia mmoja tunawahukumu kwa lipi hasa!

Nimependa sana points zako. Huwa ninajiuliza wale wanaokataa uwepo wa ushoga na usagaji, ikiwa itatokea mtoto wako yuko katika hali kama hiyo, utaamua nini? Kumwachia radhi na kumfukuza nyumbani? Iwe ni kwa sababu ya kibaolojia (mimi naiamini hii zaidi) au kimazowea, likitokea linatokea na hakuna dawa wala uganga kwa sababu ni sehemu ya tabia. Utamkataza, utamgomba, utampiga... matokeo yake ama atajidai kujirekebisha hadharani lakini ndani ya nafsi yake bado ni shoga/msagaji. Akiweza kuvumilia shinikizo la wazazi na jamii atafanya kwa siri, asipoweza kuvumilia atajiua. Ninayo mifano miwili ya karibuni, toka kwa marafiki zangu wa zaidi ya miaka 20 sasa. Kwa muda wa miaka 16 sikujua kama ni mashoga na hakuna yeyote katika kundi la marafiki alijua zaidi ya wazazi wao, na wao wamekubaliana na hali halisi, wafanye nini?
Kwa wale wanaoamini kuwa malezi yanasaidia, tujitahidi kuwalea na kuomba Mungu watoto wetu wasijekuwa tusivyotaka.
 
Ubarikiwe mkuu
Kweli you are a great thinker..
umesema kila kitu ..
Ok usiku mwema thread imeisha..
 
Tatizo tulilo kuwa nalo
binadamu ni kwamba we to quick to
Judge and point finger s. . hatufikirii kama hii
inweza kutokea kwetu, au tayari ipo kalini hAkuna
Ajuaye .. tunachowaza sisi ni kwa fulani tu ..
Jamani Mungu hana makosa anaangalia tu reaction
zetu towards hawa watu.. sijui tutajibu nini mbele zake
sawa labda hawa wanaenda kinyume na maneno yake
.. Je na sisi tunafanya sawa kwa kuwatenga au kuona
Wanamakosa kuliko sisi..?
 
Amenib tumwombe Mungu atupe uvumilivu na kukwepa kukhukumu,ahsante sana.
 
 
umesema zote ni dhambi hiyo nikweli lakini kuna dhambi ambazo ni zaidi ya dhambi yani ni laana na watu wanazozitenda wamelaaniwa.unajua kilichomuzi Mungu hadi kuiteketeza sodoma,we unaweza ukasimama mbele ya jamii ukaongea huo upuzi kama unaona ni sawa?
 
shida kama haipo anza kampeni ya kuhimiza mapenz ya jinsia1,af uanze kumshauri BABA YAKO amuche mama yako atafute mwanaume ambae atampata raha,af uhimize pia ukoo wako ili iwe mfano mzuri wa kuigwa,mana kwako co tatizo kua na mapenz ya jinsia1.
 
Ulishawahi kusoma kidogo watalaamu wanasema nn kuhusu tabia hizi .....Hivi unafikiri sodoma na gomora ilikuwa nn unauhakika wewe,ndugu yako,jirani ,mwenza wakazi wote hao wanatofauti na masimulizi hayo ya Sodoma !Usiishi kwenye dunia ya kufikirika ishi kwenye jamii uliyopo kama hujui jieleimisha.
 

Mkuu hongera kwa ufafanuzi,
Lakini ukiangalia hapa, nia ya mleta mada ni kuwa tuache kuwasakama

Hivyo basi, tunawasakama kwa lipi? ubaya wao, au vitendo vyao au uanadamu wao?
Ni wazi kabisa, usagaji na ushoga bado havikubaliki katika jamii yetu ya kitanzania. Hayo maoni uliyoyatoa ni ya Ki-magharibi zaidi, ambo wana-compromise kila kitu.
Tukikuuliza wewe msimamo wako kuhusu ushoga ni upi? Je unafikiri ushoga ni halali kwa mawazo yako?
 

Kuna baadhi ya mambo katika jamii huwezi kuwa NEUTRAL siku zote..
 
Sodoma na Gomora zisingeangamizwa basi kama ingekuwa ni issue light kama unavyotaka wewe i-sound.
 
Kwa hiyo unataka kusema Mungu alikosea kuumba me n' ke?..pia maandiko yanasema mwanaume na mwanamke wataacha familia zao,na kwenda kuishi pamoja kama mwili mmoja,hivyo wa2 wajinsia moja kuishi pamoja si sawa,kidini,kiscience,na kijamii,so why tunapinga kwa nguvu zote,na si kweli dhambi zingine hazipingwi,au hausikilizi redio n tv uone jamii inavyopinga UFISADI,MAUAJI YA ALBINO,ubakaji,etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…