Kuna vitu havipo sawa labda unachanganya kati ya KUPENDA na KUTAMANI...unawezaje kumpenda mtu bila ya yeye kukupenda hili mtu ufikie level ya kumpenda inabidi kwanza awe amekupenda au hata at least alionesha interest kwako kukupa attention na kukujari Happ ndipo UBONGO una release chemicals za kumpenda Sasa wewe huyo unayesema unayependa ni unamtamani tu.
Mimi binafsi hili nimpende mwanamke kwanza anahutaji kuwa na basic ya uzuri sio awe mzuri bali BASIC anatazamika Pili anipende hata Kama hanipendi kweli akiigiza tu kuwa ananipenda akanipa zile package kunijari, kunipa attention kwa anavyokutumia sms huyo mwengine mie inatosha ubongo wangu kumtoa kuwa mwanamke wa kawaida na kuwa ninayempenda So kwa situation Kama yako mimi ingetosha kumpenda huyo anayekutafuta kwa sms, kukujari na kukupa attention na hivyo ndivyo mpenzi inabidi afanye na ndio mapenzi yenyewe.
Kingine nataka nikufundishe mtoa mada kuanzia leo HISIA huwezi badili, hisia huzihilika kwa matendo Kama kujibu sms, hakutafuti mpaka umtafute mwanamke akiwa hivyo haupaswi kumuuliza kwanini hunitafuti hata kwa kumtania inabidi umuache moja kwa moja bila kumwambia tena Hilo suala linahusiana na HISIA ukimuuliza maanake unalazimisha awe na HISIA na wewe...hasara ya mwanamke kutokuwa na Hisia na wewe anaweza kukua, rahisi kukukimbia ukishuka kiuchumi, kukumbia ukiumwa Sana, ukiwa mlemavu, hawezi kuwa Romantic yaani kuwa kitulizo Cha nafsi na akili kwako kuwa Romantic Ni package inayokuja automatic ukiwa na Hisia na mtu.
Kwa ushauri wangu jifunze kumpenda huyo unayesema humpendi mpe attention, mjari, mtafute kwa sms, mpe zawadi isome tabasamu lake, mkumbatie, mwende aoting nauhakika miezi kadhaa inatosha ubongo wako kumpenda na ku-release chemicals za upendo mtu ni suala la saikolojia zaidi.