Mapenzi ya kupenda na kupendwa

Mapenzi ya kupenda na kupendwa

Kuna vitu havipo sawa labda unachanganya kati ya KUPENDA na KUTAMANI...unawezaje kumpenda mtu bila ya yeye kukupenda hili mtu ufikie level ya kumpenda inabidi kwanza awe amekupenda au hata at least alionesha interest kwako kukupa attention na kukujari Happ ndipo UBONGO una release chemicals za kumpenda Sasa wewe huyo unayesema unayependa ni unamtamani tu.

Mimi binafsi hili nimpende mwanamke kwanza anahutaji kuwa na basic ya uzuri sio awe mzuri bali BASIC anatazamika Pili anipende hata Kama hanipendi kweli akiigiza tu kuwa ananipenda akanipa zile package kunijari, kunipa attention kwa anavyokutumia sms huyo mwengine mie inatosha ubongo wangu kumtoa kuwa mwanamke wa kawaida na kuwa ninayempenda So kwa situation Kama yako mimi ingetosha kumpenda huyo anayekutafuta kwa sms, kukujari na kukupa attention na hivyo ndivyo mpenzi inabidi afanye na ndio mapenzi yenyewe.

Kingine nataka nikufundishe mtoa mada kuanzia leo HISIA huwezi badili, hisia huzihilika kwa matendo Kama kujibu sms, hakutafuti mpaka umtafute mwanamke akiwa hivyo haupaswi kumuuliza kwanini hunitafuti hata kwa kumtania inabidi umuache moja kwa moja bila kumwambia tena Hilo suala linahusiana na HISIA ukimuuliza maanake unalazimisha awe na HISIA na wewe...hasara ya mwanamke kutokuwa na Hisia na wewe anaweza kukua, rahisi kukukimbia ukishuka kiuchumi, kukumbia ukiumwa Sana, ukiwa mlemavu, hawezi kuwa Romantic yaani kuwa kitulizo Cha nafsi na akili kwako kuwa Romantic Ni package inayokuja automatic ukiwa na Hisia na mtu.

Kwa ushauri wangu jifunze kumpenda huyo unayesema humpendi mpe attention, mjari, mtafute kwa sms, mpe zawadi isome tabasamu lake, mkumbatie, mwende aoting nauhakika miezi kadhaa inatosha ubongo wako kumpenda na ku-release chemicals za upendo mtu ni suala la saikolojia zaidi.
 
Meseji za kujali tu..kuonyesha ananifikiria mfano kuniuliza ka nishakula...nimekionaje chakula nichokula uko nikokula nk..na mwishoe G9t sweet dreams😘 ... Meseji ka hizo ndo naita za kujipendekeza ambazo mie pia ndo natuma kwa mwengine ninaejipendekeza kwake mara nyingi.
bado mpya sana walahi😂😂
 
Niligongwa kisigino na itachukuwa mda ku recover. Saiv hata nikitembea nikaguswa hata na jani lazima nishtuke. Kila la heri mleta mada kwenye hili
 
Unaempenda kampenda mwingne huyo mwingne nae ana mwingne ilimradi tu mbaki kwenye cycle ya kutafutana na kupotezeana muda 😀 mkuu fanya mpende anaekupenda na unaeona ana muda na wewe huyo anaekukaushia hana muda na wewe kama angekuwa anakuhtaj angeweka jitihada hata wewe ungekuwa unaona fuata pahali ambapo unaona utakuwa na amani ya moyo boss ni hayo tu
 
Formula iko ivi kama una mademu wengi. Tufanye mfano unao watano.

1. Waoange mademu zako kwa serial number. Kuanzia yule unaempenda sana hadi wa tano unaempenda kidogo.

2. Kisha wapange tena, Kuanzia yule anakupenda na kukushobokea sana awe ndio moja hadi wa tano ambae haoneshi kukupenda yaan meseji tu hadi wewe uanze, ukikausha anakausha.

3. Angalia yule ambae wewe unampenda kidogo ila yeye anakupenda sana.

JIWEKE HAPO
 
Yupi kati yao umisha piga??
By the way Wanawake hawapendi Ila kuna vitu wanavutiwa navyo kutoka kwako Mara y akwanza ukutanapo kama vile urefu,body na care including pesa.Matatizo yote kwa pande 2 uki force uwe na yule anayekupenda ukumuoa utamudharau na mwisho wa siku utamuona choo na kuanza kuchepuka hovyo hovyo na atajisikia vibaya na ataweza kukufanyia tukio ambalo utabaki na mshangao na na ukiamua kuwa na yule asiyekupenda anaweza kukufanyia visa but it will depend in your current situation how itaweza Ku control.

Ushauri wangu Mwanamme ndio anayependa nenda na asiyekupenda with caution.
 
Yupi kati yao umisha piga??
By the way Wanawake hawapendi Ila kuna vitu wanavutiwa navyo kutoka kwako Mara y akwanza ukutanapo kama vile urefu,body na care including pesa.Matatizo yote kwa pande 2 uki force uwe na yule anayekupenda ukumuoa utamudharau na mwisho wa siku utamuona choo na kuanza kuchepuka hovyo hovyo na atajisikia vibaya na ataweza kukufanyia tukio ambalo utabaki na mshangao na na ukiamua kuwa na yule asiyekupenda anaweza kukufanyia visa but it will depend in your current situation how itaweza Ku control.

Ushauri wangu Mwanamme ndio anayependa nenda na asiyekupenda with caution.
Wote mechi tayari...uongo mbaya kwa nnaempenda msisimko upo juu sana...pia kwa nnae mpenda nahisi ataniletea balaa kwenye nyumba kwa kujua nimeshoboka kwake.
 
Back
Top Bottom