Mapenzi ya kutafutana mwisho wa mwezi siyataki

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,558
Reaction score
64,966
Mambo ya kuitana switii, bebiii, asaliii...sitaki, najua mnavizia hiki kimshahara kangu.

Mshahara ni wa kwangu, nimeupata baada ya kuchomwa na jua pamoja na kumaliza soli ya kiatu kwa kutembea; achilia mbali manyanyaso ya huko kazini.

Sasa ni muda wa kujipongeza mimi mwenyewe na nafsi yangu tu; sitaki wapenzi muda huu.

Mnaonipigia pigia simu kwa ajili ya kuja kula hiki kimshahara kangu, siwataki.

Niacheni nijipongeze mimi mwenyewe na kamshahara kangu.​
 
264e0b525c0dddfe05a71f6febba2f8a.jpg
 
Wewe ulisema huna haja ya kutafuta pesa, unalima na unakula mazao. Huo mshahara unatoka wapi?
 
Back
Top Bottom