Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Hawana huruma kabisa
Asante sana, ubarikiweTumekuacha
Nadhani watakuwa wananifananisha na matajiri wa mwisho wa mwezi.Wewe si unakula kilimo na ufugaji huko shamba? Mambo ya mishahara imetoka wapi tena?
Bila kuwa makini, kuanzia tarehe 15 watu wataanza kula pumba (makande) badala ya nyama choma.
Msitufokee
Wewe ulisema huna haja ya kutafuta pesa, unalima na unakula mazao. Huo mshahara unatoka wapi?Mambo ya kuitana switii, bebiii, asaliii...sitaki, najua mnavizia hiki kimshahara kangu.
Mshahara ni wa kwangu, nimeupata baada ya kuchomwa na jua pamoja na kumaliza soli ya kiatu kwa kutembea; achilia mbali manyanyaso ya huko kazini.
Sasa ni muda wa kujipongeza mimi mwenyewe na nafsi yangu tu; sitaki wapenzi muda huu.
Mnaonipigia pigia simu kwa ajili ya kuja kula hiki kimshahara kangu, siwataki.
Niacheni nijipongeze mimi mwenyewe na kamshahara kangu.
Wanavizia matikiti yangu shambaniWewe ulisema huna haja ya kutafuta pesa, unalima na unakula mazao. Huo mshahara unatoka wapi?
MUngu mwema. Nimefurahi kukuonaSijambo Dear, za siku nyingi?
Matikiti ya mwisho wa mweziWanavizia matikiti yangu shambani
Asante kipenzi. Nimefurahi pia kukuona maana imepita miaka kama mitatu kama sio minne ulitukimbia humu.MUngu mwema. Nimefurahi kukuona
Huyu ni mke wangu kabsa, usku hulal kwa usumbufu mara naogopa tukae macho mara ww unalalaje mm sijalala mara unawekewa mguu wa kifuan mara unawekewa titi karibu na mdomo