Mapenzi ya shule: Nilipata mtoto nikiwa Sekondari

R alikuwa the best one kwakwel... Maana sijaona changamoto yake ata moja... R.I.P R
 
Nimesoma mpaka dots, sijaacha chochote ila kuna sehemu zimenitoa machozi.

Hongera sana kwa mapambano na pole kwa kufiwa. Mungu ni mwaminifu, sasa tafakari mimba kweli ingetoka ungekua sehemu gani? Huyo mtoto umpendaye na kusema anaakili ungekua umemuua. Omba Mungu akusamehe kwa hilo.

Mwisho, wewe ni mzuri wa simulizi na uandishi mzuri sana.
 
Punguza mihemuko ndugu yangu,Kama unaisoma hii story uburudike au uamishiwe kihisia fine na story iko poa Sana..
Me nakupinga mkuu hii story inaonekana 100% ni ukweli, maana hata me pia nilisoma na nilikua mkorofi sana hata nilipokua nachezea bakora za maticha kamwe ckusema kundi langu na mambo yaliisha kimya.

Na kingine huezi amini kuna baadhi ya wasichana tulisoma nao wengine darasa moja kabisa walipata mimba wakazaa nakurudi kuendelea na masomo yao bila shida kutokana na juhudi zao darasani waalimu waliona kuwafukuza shule itapunguza ufaulu wa shule kiujumla.

Na kuhusu maswala ya kokoto hujui tu watu wanavyo fight wapate chochote kitu, watu wanapambana sana hujui tu.

Na kuna baadhi ya vijiji watu hawaishi kiujamaa wala kiujamii kila mtu anapambana na familia yake mfano mzuri ni kwetu huko.

Ila wewe ndo mwenye maamuzi ya kuchagua kipi cha kuamini na kipi kutokuamini.
 
For the first time nimetoa chozi tangu kuifahamu JF. Mungu akupe maisha marefu na hongera kwa uaminifu kwenye ndoa yako ya mwanzo.
 
Nilichopenda, stori ni ndefu ila imepangiliwa vyema na haina mambo za itaendelea.
 
Very interesting story...nimeguswa hasa....
 
Daaah!pole kipenzi!
 
Habari waungwana,

Nawasimulia kwa ufipi kisa changu cha mapenzi ya utotoni ila naanzia nyuma kidogo.

Nilipokuwa kidato cha pili nilikiwa naendela vyema tu na masomo japo sikuwa nafaulu sana, nilikuwa mpole sana na mkimya mno. Siku moja Mwalimu wa
Naomba kuuliza,eti Kulfi ndo nini?
 
Dah... ngoja nijifute machozi nisepe, sina cha kusema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…