Mapenzi ya shule: Nilipata mtoto nikiwa Sekondari

Ila Bora ulivyochoka kutype..

Pole na hongera .
 
Ni story nzuri, sema ndefu, nimeishia njiani!!
Nimeishia kule mstuni ambako watu walikuwa wanauwawa bila ya wengine kujua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ndo ile movie ya Jamila na pete ya ajabu au...
Msaada tafadhari!!
 
Kama hapo umefupisha sijui tungemaliza kusoma lini kama ungeiandika story yote
 
Story tamu, mapenzi ya kweli bado yapo aisee,,, Mungu akukuzie mwanao ,, penye heri baraka huongezeka
 
Hao wanaume wakikusumbua njoo kwangu nikupe mwanaume Bomba utafurahi! sana....pili huyo Mumeo wa kwanza alionewa wivu na watu wakamroga!...usisikie kitu watu zina wivu kweli!
 
Mapenzi na R yalikua matamu sana hayo sipati picha
 
Story nzuri Sana,, japo umenitoa machozi
Mtunze mtoto vzr na mjengee misingi mizuri awe kama baba yake. Kazi ya mola haihojiwi lkn R alikuacha ktk kipindi ambacho ulimhitaji na yy alikuhitaji zaidi ( Allah ampe pumziko la milele ) Daaah inahuzunisha Sana
 
pole sana mama,kwa kweli ni kumbukumbu ambayo haiwezi kufutika kamwe,Mungu amrehemu huko alipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…