Mapenzi ya shule: Nilipata mtoto nikiwa Sekondari

Aisee mwamba alikua anakupenda kweli. Ni vile tu na wewe ulikua unajielewa ndio maana mkadumu.

Girls wakishafunguliwa wanakua na kua wanapewa vizawadi huwa wanataka zaid na kujiona washakua na kua na mahusiano mengi mengi, lakini wewe ulitulia na R safi sana.
 
Aliyekulazimisha ukakatike ngoma ndiye aliyekuletea shida. Matatizo yetu yanaanzia mbali sana. Nevertheless, your story is brilliantly touching. Again, your IQ is superb. Mwanao amefata akili zako na si baba yako. Trust me, wewe ndiye mwenye uwezo mkubwa kuliko hata marehemu R.

Kama ukitulia, Mungu akakujalia, unaweza ukawa CEO wa big entity. Ninahisi kuwa kilichomuua R ni one of the two: alishapata mpenzi na possibly alimpa sumu au alimroga baada ya kumkataa kisa wewe au R alishapata maambukizi ya ukimwi. Inaweza kuwa nikawa wrong completely.
 
Kuhusu HIV hapana maana alipimwa, na sumu hapana walipima pia. Hilo la mpenzi sijui ila sikuwahi hisi wala kujua kua ana mtu mwingine.
 
Natakakutulia wataka kutulia kwa lipi?
Nina mengi niliyooitia, huu ni ufupisho wa story ya maisha ya shule. Baada ya shule nimepitia mengi sana nadhani nikisimulia utabaki kushangaa.

Siku najisajili jina hili nilikuwa katikati ya mambo magumu na nilikuwa nimekata tamaa kiasi cha kutamani hata kuondoka duniani.

Lakini namshukuru Mungu ananipigania.
 
Kwa hiyo umeshaolewa na wa wanaume watatu tofauti na unawatoto watatu au zaidi kea baba watatu tofauti
 
Ilo jina lako linamaanisha nini???🤔🤔🤔

Au nimeelewa vibaya wajuba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…