Kwann ya kutunga?You fool! Hii story ya kutunga, sio kweli...labda umsifie anajua uandishi mzuri
Watu wamezoea kusoma na kuishi kwenye mahusiano ya kuumizana hisia.Fool mwenyewe. Mbona mtu unaangalia movie na unajua ni movie watu wameigiza lakini inaweza kukutoa machozi.
Hujasema kuhusu ukimwi
Mkuu kwa mujibu ya mtoa mada mpk mama mkwe Katoa saluti kuwa dogo anapenda na anajua majukumu yake.Aisee mwamba alikua anakupenda kweli. Ni vile tu na wewe ulikua unajielewa ndio maana mkadumu.
Girls wakishafunguliwa wanakua na kua wanapewa vizawadi huwa wanataka zaid na kujiona washakua na kua na mahusiano mengi mengi, lakini wewe ulitulia na R safi sana.
Mkuu hapa nakushauri kwa heshima ya R watafute wazazi wake na uwapelekee mjukuu wao. Angalau itakuwa umewafariji kwa njia hiyo.Nimejikuta nalia eti daaa, kwa kua umeniuliza acha tu nikujibu.
Kifupi mpaka leo sijui alifariki kwa ugonjwa gani, baada ya mimi kurudi shule ndugu nasikia walienda kwa mganga, maana ziliibuka imani za kishirikina kwa upande wa wao. (Alinambia rafiki wa marehemu)
Mganga akawambiwa ametolewa kafara na mtu aliekuwa anapendana sana na marehemu. Ambaye alikuwa anashirikian kila kitu na marehemu kifupi
Ni kweli. Kwenye msafara wa mamba mijusi haikosekaniWatu wamezoea kusoma na kuishi kwenye mahusiano ya kuumizana hisia.
Wakiona wengine wanaishi na kuandika kuhusu mapenzi ya kweli, kuhurumiana na kujaliana wanahisi ni fake.
Yaniiì
Sawa, labda nichukue likizo December ili na A(mwanangu) awe karudi nyumbani maana yupo bweni kwa sasa.Mkuu hapa nakushauri kwa heshima ya R watafute wazazi wake na uwapelekee mjukuu wao. Angalau itakuwa umewafariji kwa njia hiyo.
Kujitoa kwa jamaa kumekua influenced na uaminifu wa mtoa mada.Mkuu kwa mujibu ya mtoa mada mpk mama mkwe Katoa saluti kuwa dogo anapenda na anajua majukumu yake.
Okay,,,njo Sasa tutulie....Huku mbezi penye upepo unavumaNilijibu kwenye michango, hakufa kwa UKIMWI alipimwa hakua na virusi na wala mimi sina.
Maisha yanaenda kasi sana.. Mtoto amefika pale Safari yako ya Mageuzi ilipoanziaAna miaka 14, yupo kidato cha pili
Umechelewa kiukweli.
Dada yangu alipata mimba akiwa la sita.