Yan wewe unakipaji cha uchawi aseh roho mbaya itakumaliza naimani majiran zako wanapata shida sana juu yako
Punguza mihemuko ndugu yangu,Kama unaisoma hii story uburudike au uamishiwe kihisia fine na story iko poa Sana..
Ila Kama unaisoma na kutafakari mapito aliyopitia muhusika katika hyo story utagundua Ni ya kutunga na ukitaka kuaminia fanya review soma kwa utaratibu na ukitafakari na uhalisia...
Kipato Cha sh laki moja kwa kugonga kokoto ?kwa kijijini?hyo mjini kwenyewe hupati...miezi mitatu na nusu upo nyumbani hujaonekana shule ,kwa nn asingemuambia Yule shangazi aliemfutuata Wakati wa ujauzito amsaidie kwenda shule?
Labda wewe umezaliwa mjini na umekulia mjini,ila ngoja nikuambie maisha ya vijijini watu wanaishi kiujamaa...huwezi kuta familia wanaishi wenyewe wenyewe tu hakuna uncle, mamdogo,mababu,mabibi ...lakini kwenye hii story tumeona wahusika wengine wamechomekwa sehemu za kujazilizia tu
Ngoja nikuambie waalimu /mapolisi hawana tofauti pindi umefanya msala akaitwa mzazi ,kamwe hawawezi kukutetea watakuchongea na mengine ya nyuma tofauti na kesi iliyomleta mpk utajuta kwa nn mzazi aliitwa (kwa sisi tuliokuwa watukutu tunajua)lakini kwenye hii story tumeona muhusika aliitwa mbele ya wanafunzi na waalimu akachezea fimbo amtaje bwana yake akauchuna na waalimu wakavunga hicho kitu sio kweli
Ishort story Ni nzuri labda aseme ipo based on true story lakini kajazia na vinyamanyama kuichangamsha
For instance: kwenye movie ya taitanic ilitakiwa Jack afe ili movie iwe tamu zaidi [emoji23][emoji23]