Mapenzi ya wana Chadema yako kwa mtu,wakati mapenzi ya wana CCM yako kwa chama

Kuboma

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
1,466
Reaction score
2,581
Huu ndiyo ukweli,wana Chadema wamempa imani yao yote Tundu Lissu na ndiyo nguzo ya chama chao yaani siku Lissu akiondoka basi na Chama kitakufa,

Maana yake kwamba Lissu anaushawishi mkubwa kuliko chama kama Mbowe angekuwa alishinda basi leo hii Chadema ingekuwa chali

Upande wa pili mapenzi ya wana CCM yako kwa chama siyo mtu,hata watu wawe wachafu kiasi gani kama kipindi cha Kikwete mpaka wakawa wanaona aibu kuvaa nguo za kijani lakini bado waliendelea kubaki CCM,
 
CCM ni chama Cha Kikwete, Mwinyi na Samiah nyie wengine mnajikoomba. Baba Rais, mama Mbunge na mtoto Waziri. Huku mama Rais, Mtoto Mbunge na Mkwe Waziri. Octoba kapange mstari mrefu umchague ridhawi awe Mbunge.
 
Huu ndiyo ukweli,wana Chadema wamempa imani yao yote Tundu Lissu na ndiyo nguzo ya chama chao yaani siku Lissu akiondoka basi na Chama kitakufa,

Maana yake kwamba Lissu anaushawishi mkubwa kuliko chama kama Mbowe angekuwa alishinda basi leo hii Chadema ingekuwa chali

Upande wa pili mapenzi ya wana CCM yako kwa chama siyo mtu,hata watu wawe wachafu kiasi gani kama kipindi cha Kikwete mpaka wakawa wanaona aibu kuvaa nguo za kijani lakini bado waliendelea kubaki CCM,
Huna akili.

CHADEMA ingekua ya MTU ingekua imeshajifia kitambo sanaaa
 
Huu ndiyo ukweli,wana Chadema wamempa imani yao yote Tundu Lissu na ndiyo nguzo ya chama chao yaani siku Lissu akiondoka basi na Chama kitakufa,

Maana yake kwamba Lissu anaushawishi mkubwa kuliko chama kama Mbowe angekuwa alishinda basi leo hii Chadema ingekuwa chali

Upande wa pili mapenzi ya wana CCM yako kwa chama siyo mtu,hata watu wawe wachafu kiasi gani kama kipindi cha Kikwete mpaka wakawa wanaona aibu kuvaa nguo za kijani lakini bado waliendelea kubaki CCM,

..mapenzi ya wana Ccm yako kwa Mwenyekiti, ambaye pia ni AMIRI JESHI MKUU.
 
Labda nikuulize swali mimi nisiye na akili,kama siku zile Mbowe angeshinda uchaguzi Chadema leo ingekuwaje,? Ili nijue upeo wako wa akili
Na kwann ashinde katika CHAMA ambacho tayari alionekana kaasi misingi yake ?.

Hiyo isingekua CHADEMA.
 
Huu ndiyo ukweli,wana Chadema wamempa imani yao yote Tundu Lissu na ndiyo nguzo ya chama chao yaani siku Lissu akiondoka basi na Chama kitakufa,

Maana yake kwamba Lissu anaushawishi mkubwa kuliko chama kama Mbowe angekuwa alishinda basi leo hii Chadema ingekuwa chali

Upande wa pili mapenzi ya wana CCM yako kwa chama siyo mtu,hata watu wawe wachafu kiasi gani kama kipindi cha Kikwete mpaka wakawa wanaona aibu kuvaa nguo za kijani lakini bado waliendelea kubaki CCM,
Hapo kwenye manyasi mabichi ni kwakuwa ni kamtandao kakuitafuna keki yote ya taifa.
 
ebu tukumbushane kidogo....; Kwanini tuna Vyama vya Siasa; Ukitafakari kwa undani utaona ni matumizi mabaya tu ya Kodi zetu Vyama sio Simba na Yanga ni Muunganiko wa Fikra (Mlengo) wa watu wanaojumuika ili kusaidiana kupaza sauti zao (Kinachoendelea ni kwamba hizi zimekuwa platforms za kutafuta Maslahi binafsi); Hence Vyama vimekuwa Magenge ambayo ni self serving na sio serving the citizen at large...

Huu ndiyo ukweli,wana Chadema wamempa imani yao yote Tundu Lissu na ndiyo nguzo ya chama chao yaani siku Lissu akiondoka basi na Chama kitakufa,

Maana yake kwamba Lissu anaushawishi mkubwa kuliko chama kama Mbowe angekuwa alishinda basi leo hii Chadema ingekuwa chali

Upande wa pili mapenzi ya wana CCM yako kwa chama siyo mtu,hata watu wawe wachafu kiasi gani kama kipindi cha Kikwete mpaka wakawa wanaona aibu kuvaa nguo za kijani lakini bado waliendelea kubaki CCM,
Unajaribu kufuta kesi ya malisa kwa mbinu za kimafya.
Tunachojua Job Kafariki kilazima sii kwa mapenzi yake,sasa tunasubiri kwanini ameaibishwa kiasi hili.
 
Kwa hiyo chadema imeanza wakati wa Lissu?
Chadema ilianza toka zamani,lakini hii Mbowe ndiyo iliyokuwa moto zaidi,ingawa hatukujua kama Mbowe alikuwa anatuuza kwa pesa huku akiwapa damu zetu,tofauti na hii Tundu Lissu ambayo imetufanya tujibatize kwa imani zetu kwake,
 
Labda ni wewe mwenyewe tu ndio umejibatiza kwa imani yako kwake .
Sisi wana chadema wa kweli hatupo hivyo wewe utakuwa chadema mbogamboga.
Halafu acha propaganda zako za kishamba na za uongo.
Lisu mwenyewe yupo jela.ila bado watu wanaliendesha, hadi nyie mbogamboga mkaomba msaada wa mahakama kusitisha shughuli za chadema.
hata mkiamua kumnyonga lisu chadema haitakufa.
 
Chadema ilianza toka zamani,lakini hii Mbowe ndiyo iliyokuwa moto zaidi,ingawa hatukujua kama Mbowe alikuwa anatuuza kwa pesa huku akiwapa damu zetu,tofauti na hii Tundu Lissu ambayo imetufanya tujibatize kwa imani zetu kwake,
Chadema mataizo yake yalianza baada ya Slaa kuingia.
 
Wacha upumbafu mapenz ya wanaccm ni vyeo na kuiba mihela yakodizetu
 
Huu ndiyo ukweli,wana Chadema wamempa imani yao yote Tundu Lissu na ndiyo nguzo ya chama chao yaani siku Lissu akiondoka basi na Chama kitakufa,

Maana yake kwamba Lissu anaushawishi mkubwa kuliko chama kama Mbowe angekuwa alishinda basi leo hii Chadema ingekuwa chali

Upande wa pili mapenzi ya wana CCM yako kwa chama siyo mtu,hata watu wawe wachafu kiasi gani kama kipindi cha Kikwete mpaka wakawa wanaona aibu kuvaa nguo za kijani lakini bado waliendelea kubaki CCM,
hapa umeandika VICE-VERSA
 
Labda ni wewe mwenyewe tu ndio umejibatiza kwa imani yako kwake .
Sisi wana chadema wa kweli hatupo hivyo wewe utakuwa chadema mbogamboga.
Halafu acha propaganda zako za kishamba na za uongo.
Lisu mwenyewe yupo jela.ila bado watu wanaliendesha, hata mkiamua kumnyonga lisu chadema haitakufa
Labda nikufungue macho kuna,kuna kunapenda Dini na Mtume wake kama Uisilamu na Mtume Muhammad(S.A.W) na ndivyo ilivyo kwa Tundu Lissu,siku akifa na Chadema imekufa niamini mimi leo
 
Ndio mnavyojidanya nyie ccm kwamba mkimuua Lisu na chadema itakufa.
Endeleeni kujidangqnyq.
Magufli alitakq kumuua Lisu akafa yeye.
Kuna jamaa anitwa nyaulingo ndio aliendesha genge la kwenda kumuua lisu dodoma ameshatangulia.
Ndugai alikwishq andaa hotuba ya kusomwa kwenye msiba wa lisu ametangulia.
Usipoangaliq utakufa na wewe mtamwacha lisu Hai.
Chadema ilikuwepo kabla ya huyu lisu na nakuhakikishia itaendelea kuwepo hata asipokuwapo.
Kulikuwa na kina wilbroad slaa, maker marando, Zito kabwe, alphonce mawazo .
Wote hawapo ila chadema ipo.
 
Back
Top Bottom