John Manoni
JF-Expert Member
- Sep 5, 2020
- 612
- 382
KWAHIYO CHADEMA HAIJAFA KAMA MNAVYOSEMA?Huu ndiyo ukweli,wana Chadema wamempa imani yao yote Tundu Lissu na ndiyo nguzo ya chama chao yaani siku Lissu akiondoka basi na Chama kitakufa,
Maana yake kwamba Lissu anaushawishi mkubwa kuliko chama kama Mbowe angekuwa alishinda basi leo hii Chadema ingekuwa chali
Upande wa pili mapenzi ya wana CCM yako kwa chama siyo mtu,hata watu wawe wachafu kiasi gani kama kipindi cha Kikwete mpaka wakawa wanaona aibu kuvaa nguo za kijani lakini bado waliendelea kubaki CCM,