Huna akili.Huu ndiyo ukweli,wana Chadema wamempa imani yao yote Tundu Lissu na ndiyo nguzo ya chama chao yaani siku Lissu akiondoka basi na Chama kitakufa,
Maana yake kwamba Lissu anaushawishi mkubwa kuliko chama kama Mbowe angekuwa alishinda basi leo hii Chadema ingekuwa chali
Upande wa pili mapenzi ya wana CCM yako kwa chama siyo mtu,hata watu wawe wachafu kiasi gani kama kipindi cha Kikwete mpaka wakawa wanaona aibu kuvaa nguo za kijani lakini bado waliendelea kubaki CCM,
Huu ndiyo ukweli,wana Chadema wamempa imani yao yote Tundu Lissu na ndiyo nguzo ya chama chao yaani siku Lissu akiondoka basi na Chama kitakufa,
Maana yake kwamba Lissu anaushawishi mkubwa kuliko chama kama Mbowe angekuwa alishinda basi leo hii Chadema ingekuwa chali
Upande wa pili mapenzi ya wana CCM yako kwa chama siyo mtu,hata watu wawe wachafu kiasi gani kama kipindi cha Kikwete mpaka wakawa wanaona aibu kuvaa nguo za kijani lakini bado waliendelea kubaki CCM,
Labda nikuulize swali mimi nisiye na akili,kama siku zile Mbowe angeshinda uchaguzi Chadema leo ingekuwaje,? Ili nijue upeo wako wa akiliHuna akili.
CHADEMA ingekua ya MTU ingekua imeshajifia kitambo sanaaa
Na kwann ashinde katika CHAMA ambacho tayari alionekana kaasi misingi yake ?.Labda nikuulize swali mimi nisiye na akili,kama siku zile Mbowe angeshinda uchaguzi Chadema leo ingekuwaje,? Ili nijue upeo wako wa akili
Hapo kwenye manyasi mabichi ni kwakuwa ni kamtandao kakuitafuna keki yote ya taifa.Huu ndiyo ukweli,wana Chadema wamempa imani yao yote Tundu Lissu na ndiyo nguzo ya chama chao yaani siku Lissu akiondoka basi na Chama kitakufa,
Maana yake kwamba Lissu anaushawishi mkubwa kuliko chama kama Mbowe angekuwa alishinda basi leo hii Chadema ingekuwa chali
Upande wa pili mapenzi ya wana CCM yako kwa chama siyo mtu,hata watu wawe wachafu kiasi gani kama kipindi cha Kikwete mpaka wakawa wanaona aibu kuvaa nguo za kijani lakini bado waliendelea kubaki CCM,
Unajaribu kufuta kesi ya malisa kwa mbinu za kimafya.Huu ndiyo ukweli,wana Chadema wamempa imani yao yote Tundu Lissu na ndiyo nguzo ya chama chao yaani siku Lissu akiondoka basi na Chama kitakufa,
Maana yake kwamba Lissu anaushawishi mkubwa kuliko chama kama Mbowe angekuwa alishinda basi leo hii Chadema ingekuwa chali
Upande wa pili mapenzi ya wana CCM yako kwa chama siyo mtu,hata watu wawe wachafu kiasi gani kama kipindi cha Kikwete mpaka wakawa wanaona aibu kuvaa nguo za kijani lakini bado waliendelea kubaki CCM,
Chadema ilianza toka zamani,lakini hii Mbowe ndiyo iliyokuwa moto zaidi,ingawa hatukujua kama Mbowe alikuwa anatuuza kwa pesa huku akiwapa damu zetu,tofauti na hii Tundu Lissu ambayo imetufanya tujibatize kwa imani zetu kwake,Kwa hiyo chadema imeanza wakati wa Lissu?
Kwa hiyo ulikuwa unasemaje kwa maoni yako?Na kwann ashinde katika CHAMA ambacho tayari alionekana kaasi misingi yake ?.
Hiyo isingekua CHADEMA.
Labda ni wewe mwenyewe tu ndio umejibatiza kwa imani yako kwake .Chadema ilianza toka zamani,lakini hii Mbowe ndiyo iliyokuwa moto zaidi,ingawa hatukujua kama Mbowe alikuwa anatuuza kwa pesa huku akiwapa damu zetu,tofauti na hii Tundu Lissu ambayo imetufanya tujibatize kwa imani zetu kwake,
Chadema mataizo yake yalianza baada ya Slaa kuingia.Chadema ilianza toka zamani,lakini hii Mbowe ndiyo iliyokuwa moto zaidi,ingawa hatukujua kama Mbowe alikuwa anatuuza kwa pesa huku akiwapa damu zetu,tofauti na hii Tundu Lissu ambayo imetufanya tujibatize kwa imani zetu kwake,
hapa umeandika VICE-VERSAHuu ndiyo ukweli,wana Chadema wamempa imani yao yote Tundu Lissu na ndiyo nguzo ya chama chao yaani siku Lissu akiondoka basi na Chama kitakufa,
Maana yake kwamba Lissu anaushawishi mkubwa kuliko chama kama Mbowe angekuwa alishinda basi leo hii Chadema ingekuwa chali
Upande wa pili mapenzi ya wana CCM yako kwa chama siyo mtu,hata watu wawe wachafu kiasi gani kama kipindi cha Kikwete mpaka wakawa wanaona aibu kuvaa nguo za kijani lakini bado waliendelea kubaki CCM,
Labda nikufungue macho kuna,kuna kunapenda Dini na Mtume wake kama Uisilamu na Mtume Muhammad(S.A.W) na ndivyo ilivyo kwa Tundu Lissu,siku akifa na Chadema imekufa niamini mimi leoLabda ni wewe mwenyewe tu ndio umejibatiza kwa imani yako kwake .
Sisi wana chadema wa kweli hatupo hivyo wewe utakuwa chadema mbogamboga.
Halafu acha propaganda zako za kishamba na za uongo.
Lisu mwenyewe yupo jela.ila bado watu wanaliendesha, hata mkiamua kumnyonga lisu chadema haitakufa
Ndio mnavyojidanya nyie ccm kwamba mkimuua Lisu na chadema itakufa.Labda nikufungue macho kuna,kuna kunapenda Dini na Mtume wake kama Uisilamu na Mtume Muhammad(S.A.W) na ndivyo ilivyo kwa Tundu Lissu,siku akifa na Chadema imekufa niamini mimi leo