Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Uvuvi, usafirishaji kwa boti kubwa(dau), kilimo cha mikonge,madiniMatajiri wa Tanga hela wanazipatia source gani? Hamna Kilimo cha maana madini wala utalii huko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uvuvi, usafirishaji kwa boti kubwa(dau), kilimo cha mikonge,madiniMatajiri wa Tanga hela wanazipatia source gani? Hamna Kilimo cha maana madini wala utalii huko.
Wanajielewa wasauz weupeYeah, hairuhusiwi kwa sababu ya kulinda viwanda vya ndani.
Sharti la kwanza, lazima uanzishe kiwanda South Africa, pili lazima wasouth wamiliki hisa kwenye hicho kiwanda.
Jamaa wako very strict kwenye kulinda soko lao la ndani. Imports ni kama hakuna za magari.
Nahitaji kichwa (cabin) ya Mercedes Benz Axor 2540 kilichotumika lakini kiwe na hali nzuri sana.Bafadhil Transport anazo Mercedes Benz Axor kibao,Simba Logistics, Mo Dewji wanazitumia sana
Unapatikana wapi mkuuNahitaji kichwa (cabin) ya Mercedes Benz Axor 2540 kilichotumika lakini kiwe na hali nzuri sana.
Huyo hajui alichoandikaTanga mji wa michakato mingi, magendo, kupitia horohoro na mombasa, mrungi, madawa, tenda za viwandani, biashara kati ya tanga na pemba plus comoro, michakato pale mingi mno