Mapenzi ya Warundi na Mercedes Benz

Mapenzi ya Warundi na Mercedes Benz

Yeah, hairuhusiwi kwa sababu ya kulinda viwanda vya ndani.

Sharti la kwanza, lazima uanzishe kiwanda South Africa, pili lazima wasouth wamiliki hisa kwenye hicho kiwanda.

Jamaa wako very strict kwenye kulinda soko lao la ndani. Imports ni kama hakuna za magari.
Wanajielewa wasauz weupe
 
Zile mbaula zake nakumbuka 98/99 wakati nipo Kibaigwa,Chuma zilikuwa zinakula nundu ya mahindi halafu sikiliza zinavyolalamika kwenye ule mlima .
 
Tanga mji wa michakato mingi, magendo, kupitia horohoro na mombasa, mrungi, madawa, tenda za viwandani, biashara kati ya tanga na pemba plus comoro, michakato pale mingi mno
Huyo hajui alichoandika
 
Back
Top Bottom