TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 9,748
- 26,238
Before sijaoa nilikuwa nainjoy Sana nikidate mwanamke chapombe. Yaani mkishakuwa high mnaeza hata mka-do kwenye viti vya bar. Yaani full burdan. Mkikwazana mnaenda kuyamaliza bar Tena kwa muda mfupi mambo yameisha.Mapenzi ya watu wanaopiga pombe huwa ni matamu sana na yenye furaha ukilinganisha na wale wanaotumia vitu vitamu vitamu kama juisi,soda n.k Hawa wanaotumia vilevi vya pombe huwa wana zile swaga au hamasa katika kuleta furaha katika mapenzi.Kama hamjalithibitisha hilo,ingieni field.
Ila nilipokuwa serious kuoa nilipiga chini vyapombe wote na kudeal na ambae kwake pombe ni ni sumu. Imenisaidia Sana Sasa ivi nakunywa mvinyo sio ule wa kulewa high voltage.
Shida ya pombe Kama wote NI walevi hata Kama mna elfu kumi tu siku iyo mnaweza mkajikuta mmeichoma yote alafu asubuhi mnaangaliana tu na mihang over yenu. Shwain