Mapenzi ya watu wanaopiga pombe huwa ni matamu

Hahahaaa, hiyo grocery itadumu kweli Kwa kuonja hivo,hongera piaa. Sasa Kwa huo unywaji una nini cha kusema Kwa hii mada, je unajikuta unampenda zaidi mamiloo ukishakunywa ama kawaida tu[emoji3]
Tatizo yeye hapendi harufu ya yale maji yanayolewesha, huwa anafura tu😂😂😂 ila nishamzoea
 
Ni kweli mkuu,changamoto ni kwenye matumizi.....lakini kila kitu ni mipango,hatuna sayari nyingine ya kuishi, kama starehe yako ni kinywaji,unaweka bajeti yako maisha yanaenda
safi sana maisha mafupi na twendako hatupajui ila tunajua tutokako....ila sote tunajua ni lazima tufe tu
 
Hakuna ata raha wanapata pale mimi nikiwaka nacheza mziki afu nabambia hatari na najua kucheza siku hizi pombe hizi
Umegarimia taaluma huku ukiemjoy tofsuti na darasana unasoma halafu unafeli na test au mitihani
 
Hal
ha ha ha ha nimecheka sana mkuu
hapa jiraninkunakuwaga na kigrocery moja la mdada moja ikifika saa tano tunalifunga basi ukituona wazeee hadi aibu tumeacha wake zetu home .. chumbe chenyewe hakina hata hewa wala hatuoni shida ilimradi kofi aoigwe weeeeee ukirudi unanyatia unaoga unalala kimya ni mwendo wankukoroma hakuna ugomvi NJOO SASA KWA WANYWA SODA
 
ha ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…