SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
- Thread starter
- #41
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru sana ndugu yanguUmetulia sana kwenye stori zako.
Big up sana.watunzi wa riwayabni wengi lakini zako zina mvuto na hazichoshi kusoma.ukiona stor zako watu wanasoma na hawataki kuona episode ikiisha basi ni stor zako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa uzi kasema anahisi ilitoka, si kwa mateso alopatiwa... Lakini nahisi kuna sehemu itakuwa imemiss
Doh! Mkuu, pole sana aseeImenikumbusha mbali kidogo.
Katika maisha yangu mpaka kufikia form 4 sikuwahi kuwa katika uhusiano wa kimapenzi nilifanya hivyo nikiamini niwe bize na masomo kisha nikiamini ningekuja mpata mwanamke anayejitunza kama ninavyojitunza mimi na hilo ndipo nililipenda zaidi.
Nikawa nawaonea huruma hasa waliokuwa wakiumizwa na mapenzi nikiamini yanawatokea sababu wao wamekuwa wakiwaumiza wenzao,hivyo hayo mi yasingenipata maana me sikuwahi muumiza yeyote.
Hatimaye nikahitimu,hapa nikaona ni muda mzuri wa mimi kupenda na kupendwa hasa kuyatoa mapenzi yangu yote kwa ajili yake...huku nikisubiri matokeo yangu.
Duh...kutokana na uoga wangu wa kumfata mwanamke nikajikuta nimeangukia mikononi mwa mwanamke aliyekuwa member wa facebook,huku tukiwa hatufahamiani kabisa.
Ikumbukwe yeye ndiye alikuwa chanzo cha mimi kuwa nae baada ya kuwa marafiki kwa muda kidogo ikafika tukapeana namba za simu.
Mapenzi yakaanza kwa pupa huku kila mmoja akifanya kila aliwezalo kumfurahisha mwenza wake.
Huyu alikuwa ni mwanamke aliyekuwa anajihusisha na mashindano ya u miss na alishawahi kushinda taji huko alipokuwa mwaka 2014.
Baadaye...alikuja kuanza kujihushiwa na masuala ya urembaji wa video (video queen.)
Yeye alikuwa akiishi Dar es Salaam mimi nikiishi mkoa uliopo katikati ya nchi.
Kufupisha nilijitoa ila alichokuja kunifanyia nimesamehe ila sijawahi kusahau.
Juu ya uzi.
Kujitoa ni kuzuri ila usitegeme naye ajitoe kwaajili yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Muwe mnasoma basi replies. Nilishalijibu hilo mara ya nne sasaMkuu umeandika habari za mimba..sijaona km iliishia wp baada ya kufungwa au ilitolewa,au alishajifungua kabla?
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kila mama ni malaika asee! Karibu tena ShunieDah
Inasikitisha sana jamani huyu mama kumfanyia mtoto wake hivi kisa umasikini wa mwanaume wa mtoto wake
Tivu sante
Kweli kabisa tivu
Shunie, mwenza espy, Sky Eclat , dada gfsonwin na dada snowhite.Naomba muwatag wale wadada wa MMU
Nimekumiss mdogo wangu!Shunie, mwenza espy, Sky Eclat , dada gfsonwin na dada snowhite.
Miss Natafuta, Beef Lasagna, Dinazarde ,Evelyn Salt, Valentina
Am Okay dada.Nimekumiss mdogo wangu!
Yu okey?