Mapenzi yako ni kina gani? (How deep is your love?)

Mapenzi yako ni kina gani? (How deep is your love?)

Biblia inasema usimuache mwanamke mchawi aishi,kwanini mwanamke? hakuna kiumbe mwenye roho mbaya,unafiki kama mwanamke,na hakuna kiumbe mwenye roho nzuri na mapenzi ya dhati kama mwanamke.
 
Mkuu kuna sehemu ulieleza kabla ya huyo binti kufungiwa alikuwa na ujauzito wa mwanasheria , ila sijaona sehemu ambayo imeelezea what happened na huo ujauzito kama alijifungua au laa??
 
Back
Top Bottom