Mapenzi yako wapi tena? Karudi nchini bila kuniambia kakaa kimya, kanisahau kwa makusudi

Mapenzi yako wapi tena? Karudi nchini bila kuniambia kakaa kimya, kanisahau kwa makusudi

RAFA_01

Senior Member
Joined
Aug 10, 2022
Posts
103
Reaction score
169
Mwaka mzima namsubiri aje lakin kaingia nchini kimya kimya bila hata kuniambia, kweli!

Mwanzon kabisa it was great. We had so much in common...we shared the same taste in everything music, movies, she loves karaokee though she’s bad at singing, she likes art and i love arts, we were the perfect combination

At first it felt like a dream you know, finding a missing puzzle piece, i felt complete, I can’t speak for her but i was happy as they come. untill when she went back to school, abroad

Ikawa Long distance sasa hapo nilikuwa najitahid relationship iwork, the time difference sikujali nilikuwa nakaa macho usiku wa manane ili tuongee

Akaniambia anakuja huu mwezi nikimuuliza lini hasemi tarehe specific anakwambia “soon tu”🥺

Nakuja kutambua kafika DSM kakaa kimya wakati tulikubaliana nimpokee anavyokuja yote hayo yakawa hayafai na nimegundua kwa kumchunguza kupitia Instagram kuona insta live anafurahia na wenzie

Nikiwasiliana nae anadanganya anasema hajafika nikamwambia kafika na nafahamu kwahiyo nimuone wapi akasema kwao zaman kahama sijui wanaishi kama Nomads bla blah!

Kifupi she’s blowing me off but i fucking love her, Nikimwambia anasema she’s not ready kukutana eti anadeal na some personal stuffs nkimwambia awe anafanya sharing nimsikilize anasema hayuko tayari

Kibaya kinachonitisha nitaipata wapi connection na mwanamke kama ile, we were “The couple” she was everything I ever wanted, tulikuwa tunaongea lugha moja she was wild and adventurous AF, I loved that about her lakin sasa nipo nipo tu

Najua kuna watu watasema Man-down, sawa ila nachowaza tu “nitampata wapi kama yule” uzuri ni kigezo ila somehow si kigezo maana wapo wengi damn it. lakini personality ndio tatizo nikikumbuka the sex

Imagine she freaking love comedy movies, anasikiliza Hip-hop anawakubali imagine dragons anaangalia animations ni shabiki wa Man u 🥺 and she loves nature, nilifikiri she was The one

No this ain’t over yet, our story doesn’t have to end this way... i need a freakin’ happy ending
 
Tulia ww, jifunze kwa wengine hilo ni somo kwako.. jipange kwa maisha yako kuwa bora zaidi, wanawake ni wengi mnoo huwezi amini... kuwa tu bora na maisha yako yanyooke..... utachagua aina yoyote unayotaka.... mdelete and move on
 
Jiweke busy na kazi mkuu litapita , ila hata haya maswala ya kuwa na mwanamke mmoja mimi naona ni uzembe !
Mwanaume ukiwa na wanawake kidogo angalau waanzie watatu.

Usiwekeze kwenye hisia , wekeza kwenye kazi na kujijenga akiona anastahili atabaki !!

Ona sasa unakumbuka hadi vitu anavyovipenda dadeki hapa kila ukiona mtu na demu wake wamevaa jezi ya man u , we vidonda vya tumbo vinachachamaa huko ndani
 
Hakuna a freaking happy ending.
 
Back
Top Bottom