Mapenzi yako wapi tena? Karudi nchini bila kuniambia kakaa kimya, kanisahau kwa makusudi

Mapenzi yako wapi tena? Karudi nchini bila kuniambia kakaa kimya, kanisahau kwa makusudi

Ukome kuigiza mapenzi, alafu punguza maneno mengiii hata ktk mapenzi na kwingineko ww si mwanaume au mvulana?

Kama mwanaume kazi ya mwanaume ni kutafuta, so tafuta pisi kali ziko nyingi mno, na songa mbele, hukuwa na ndoa nae, songa mbele, be a man, acha kelele humu, sio kila kitu unaomba ushauri, ushauri gani tukupe sisi mtu hatumjui, au hatujui kisa cha ww kukukimbia, tunajuaje ni ww ndio una makosa, ukweli unaujua ww na yeye tu, nini kilitokea, kama ni ku fix ni nyie wawili tu, sisi unatusumbua humu bure, ebu show ur maturity.
 
I feel your pain broo..hawa viumbe hawatabiriki,usiwekeze sana nguvu na akili zako kwao coz watakushangaza..! Sema na akili yako,hapo tayari kashabadilika...fanya kama kumpotezea hivi..na yeye akivunga just move on..
 
Mnaomechi nao huwa hawaowani amini hilo , sijui kwanini wanaishiaga kwenye urafiki tuu.
 
Kuna vitu vingine kwenye mapenz siyo mpaka uambiwe mwenyewe tu unajua hapa hamna mapenz sasa situation kama hyo ikikufika inabid we mwenyewe tu ujiongeze la sivyo utalia lia na hamna wa kukuonea huruma tafuta mwingine kwan huyo ulimpataje halafu ukiendelea kumfuata fuata atazid kukuumiza jiongeze jombaaaa
 
Man up bro, huyo muache aende huwa wanarudi mambo yakiwaendea kombo tena anaweza rudi na sababu ya maana inayoweza kukushawishi umuamini. Lakini nakwambia ukweli tumia hiyo nafasi kumbamiza piga chini mbwa hiyo. Sasa utajidhalilusha kwa kuendelea kumbembeleza so long as ushajiridhisha anafanya mambo kinyume na makubaliano yenu achana nae. Unfollow instagram, ikiwezekana futa namba yake hii itakusaidia kutokuendelea kuumia kwa kutokua na access nae. Pull up ur sock show her you are the real MAN and do not think on revenge but if it comes do it with passion(don't kill brother)

Mimi nilishapita huko na mpaka sasa najiona kabisa nilishakomaa yan siwezi kuumizwa na swala linaitwa mapenzi labda mpaka nitakapokuja kuoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka mzima namsubiri aje lakin kaingia nchini kimya kimya bila hata kuniambia, kweli!

Mwanzon kabisa it was great. We had so much in common...we shared the same taste in everything music, movies, she loves karaokee though she’s bad at singing, she likes art and i love arts, we were the perfect combination

At first it felt like a dream you know, finding a missing puzzle piece, i felt complete, I can’t speak for her but i was happy as they come. untill when she went back to school, abroad

Ikawa Long distance sasa hapo nilikuwa najitahid relationship iwork, the time difference sikujali nilikuwa nakaa macho usiku wa manane ili tuongee

Akaniambia anakuja huu mwezi nikimuuliza lini hasemi tarehe specific anakwambia “soon tu”[emoji3064]

Nakuja kutambua kafika DSM kakaa kimya wakati tulikubaliana nimpokee anavyokuja yote hayo yakawa hayafai na nimegundua kwa kumchunguza kupitia Instagram kuona insta live anafurahia na wenzie

Nikiwasiliana nae anadanganya anasema hajafika nikamwambia kafika na nafahamu kwahiyo nimuone wapi akasema kwao zaman kahama sijui wanaishi kama Nomads bla blah!

Kifupi she’s blowing me off but i fucking love her, Nikimwambia anasema she’s not ready kukutana eti anadeal na some personal stuffs nkimwambia awe anafanya sharing nimsikilize anasema hayuko tayari

Kibaya kinachonitisha nitaipata wapi connection na mwanamke kama ile, we were “The couple” she was everything I ever wanted, tulikuwa tunaongea lugha moja she was wild and adventurous AF, I loved that about her lakin sasa nipo nipo tu

Najua kuna watu watasema Man-down, sawa ila nachowaza tu “nitampata wapi kama yule” uzuri ni kigezo ila somehow si kigezo maana wapo wengi damn it. lakini personality ndio tatizo nikikumbuka the sex

Imagine she freaking love comedy movies, anasikiliza Hip-hop anawakubali imagine dragons anaangalia animations ni shabiki wa Man u [emoji3064] and she loves nature, nilifikiri she was The one

No this ain’t over yet, our story doesn’t have to end this way... i need a freakin’ happy ending
Huyu alikuwa msichana wako wa kwanza?
Ulimkuta akiwa bikra?
Kama jibu ni hapana, basi ishi kama ulivyoishi kabla ya kukutana naye!

Yawezekana ameyajenga na aliye mbikiri...
 
Ila naona kama wanaume mnateswa zaidi na mapenzi au naona vibaya 😁 mana vilio vyenu humu ni vingi kuliko wadada
 
Polee mkuu najua vile unafeel, i got the same situation nikasema nitafute wanawake tofauti ili nimsahau but bado ni ngumu, jaribu kumchek anaweza rudi usikate tamaa
Ukitoka kwenye mahusiano ukakimbilia kutafuta wa kureplace haraka unakua unajidanganya , labda huyo kama alikuepo kipindi upo na huyu wa mwanzo !! Mara nyingi unajikuta unafananisha kila kitu , unajitahidi mtu awe kama yule aliyekuacha !! Unajipa muda , Mtafarakana vibaya mno ! Ndo mtu anaanza kummiss ex wake

Halafu wasirudiane , ukishapigwa tukio kubali hiyo ni warning !! Tukio lijalo utaumia zaidi ! Labda kama ni ile type ya watu ambao hawajifunzi mpaka waumizwe mara nyingi nyingi !
Wahuni muwe na Main chick na side chick moja ikiroga , moja inapanda cheo !!
Msichana unakua nae yan unakua stright mpaka anakuelewa a-z , muwekee hata kidogo mashaka asijiamini sana (wanaume wanajua kubalance)
😀😀 mimi naita eleweka-kutoeleweka
 
Hiyo mwanamke alikua mpweke na hajawahi kukupenda. Alikutumia tu ili umpe kampani katika upweke wake after that huna umuhimu tena maybe yupo sasa na ampendae.
Acha kulazimisha upendo usiokuwepo, jinsi ulivyompata huyo mwanamke unayeendana nae ndio utakavyopata mwingine. Wanawake unaoendana hawajaisha.

Mpotezee ukimlazimisha sana unajishushia thamani kama mwanaume mwisho atakujibu shit na madharau
 
Ila naona kama wanaume mnateswa zaidi na mapenzi au naona vibaya 😁 mana vilio vyenu humu ni vingi kuliko wadada
Mkuu inaweza kuwa kweli 😀😀 ila pia hata ukifuatilia JF wanaume watakua ni wengi , hata kwenye nyuzi wanaoshiriki na wanaoanzisha nyuzi asilimia kubwa ni wanaume ! Ukiachana na wale wanawake maarufu au wanaoshiriki mijadala pia ni wale wale wanajirudia rudia ,mara nyingi wengi nahisi ni wasomaji tu !!
 
Wakati upo kwenye hiyo furaha,ilitakiwa utegemee haya kutokea mzee.

I can feel your pain,moving on will ease the pain.

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Ndo umeshapigwa za mbavu sasa ...tafuta mwingine wa ku freak nae[emoji38][emoji38]
 
Mwaka mzima namsubiri aje lakin kaingia nchini kimya kimya bila hata kuniambia, kweli!

Mwanzon kabisa it was great. We had so much in common...we shared the same taste in everything music, movies, she loves karaokee though she’s bad at singing, she likes art and i love arts, we were the perfect combination

At first it felt like a dream you know, finding a missing puzzle piece, i felt complete, I can’t speak for her but i was happy as they come. untill when she went back to school, abroad

Ikawa Long distance sasa hapo nilikuwa najitahid relationship iwork, the time difference sikujali nilikuwa nakaa macho usiku wa manane ili tuongee

Akaniambia anakuja huu mwezi nikimuuliza lini hasemi tarehe specific anakwambia “soon tu”🥺

Nakuja kutambua kafika DSM kakaa kimya wakati tulikubaliana nimpokee anavyokuja yote hayo yakawa hayafai na nimegundua kwa kumchunguza kupitia Instagram kuona insta live anafurahia na wenzie

Nikiwasiliana nae anadanganya anasema hajafika nikamwambia kafika na nafahamu kwahiyo nimuone wapi akasema kwao zaman kahama sijui wanaishi kama Nomads bla blah!

Kifupi she’s blowing me off but i fucking love her, Nikimwambia anasema she’s not ready kukutana eti anadeal na some personal stuffs nkimwambia awe anafanya sharing nimsikilize anasema hayuko tayari

Kibaya kinachonitisha nitaipata wapi connection na mwanamke kama ile, we were “The couple” she was everything I ever wanted, tulikuwa tunaongea lugha moja she was wild and adventurous AF, I loved that about her lakin sasa nipo nipo tu

Najua kuna watu watasema Man-down, sawa ila nachowaza tu “nitampata wapi kama yule” uzuri ni kigezo ila somehow si kigezo maana wapo wengi damn it. lakini personality ndio tatizo nikikumbuka the sex

Imagine she freaking love comedy movies, anasikiliza Hip-hop anawakubali imagine dragons anaangalia animations ni shabiki wa Man u 🥺 and she loves nature, nilifikiri she was The one

No this ain’t over yet, our story doesn’t have to end this way... i need a freakin’ happy ending
Perfect combination is not made by having common interests. It is best made by having different interests which should bring 2 together. Common character is what you're looking for.

Statistically, people with similar interests don't last as there's no charm of the unknown/ boring; They are already you. However, people of similar character last long since their principals and philosophy beat in harmony.

Btw, you now fucki* love her even more because of that fear of the unknown. Too many whys in your mind now.

Move on buddy.
 
Back
Top Bottom