jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Na hilo akalitazame.Karudi kafikia kwa kidume anapelekewa mote na kakolea so wewe endelea tu na harakati zako..huyo demu kesha kupiga chini kitambo.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Huyu alikuwa msichana wako wa kwanza?Mwaka mzima namsubiri aje lakin kaingia nchini kimya kimya bila hata kuniambia, kweli!
Mwanzon kabisa it was great. We had so much in common...we shared the same taste in everything music, movies, she loves karaokee though she’s bad at singing, she likes art and i love arts, we were the perfect combination
At first it felt like a dream you know, finding a missing puzzle piece, i felt complete, I can’t speak for her but i was happy as they come. untill when she went back to school, abroad
Ikawa Long distance sasa hapo nilikuwa najitahid relationship iwork, the time difference sikujali nilikuwa nakaa macho usiku wa manane ili tuongee
Akaniambia anakuja huu mwezi nikimuuliza lini hasemi tarehe specific anakwambia “soon tu”[emoji3064]
Nakuja kutambua kafika DSM kakaa kimya wakati tulikubaliana nimpokee anavyokuja yote hayo yakawa hayafai na nimegundua kwa kumchunguza kupitia Instagram kuona insta live anafurahia na wenzie
Nikiwasiliana nae anadanganya anasema hajafika nikamwambia kafika na nafahamu kwahiyo nimuone wapi akasema kwao zaman kahama sijui wanaishi kama Nomads bla blah!
Kifupi she’s blowing me off but i fucking love her, Nikimwambia anasema she’s not ready kukutana eti anadeal na some personal stuffs nkimwambia awe anafanya sharing nimsikilize anasema hayuko tayari
Kibaya kinachonitisha nitaipata wapi connection na mwanamke kama ile, we were “The couple” she was everything I ever wanted, tulikuwa tunaongea lugha moja she was wild and adventurous AF, I loved that about her lakin sasa nipo nipo tu
Najua kuna watu watasema Man-down, sawa ila nachowaza tu “nitampata wapi kama yule” uzuri ni kigezo ila somehow si kigezo maana wapo wengi damn it. lakini personality ndio tatizo nikikumbuka the sex
Imagine she freaking love comedy movies, anasikiliza Hip-hop anawakubali imagine dragons anaangalia animations ni shabiki wa Man u [emoji3064] and she loves nature, nilifikiri she was The one
No this ain’t over yet, our story doesn’t have to end this way... i need a freakin’ happy ending
Ukitoka kwenye mahusiano ukakimbilia kutafuta wa kureplace haraka unakua unajidanganya , labda huyo kama alikuepo kipindi upo na huyu wa mwanzo !! Mara nyingi unajikuta unafananisha kila kitu , unajitahidi mtu awe kama yule aliyekuacha !! Unajipa muda , Mtafarakana vibaya mno ! Ndo mtu anaanza kummiss ex wakePolee mkuu najua vile unafeel, i got the same situation nikasema nitafute wanawake tofauti ili nimsahau but bado ni ngumu, jaribu kumchek anaweza rudi usikate tamaa
Mkuu inaweza kuwa kweli 😀😀 ila pia hata ukifuatilia JF wanaume watakua ni wengi , hata kwenye nyuzi wanaoshiriki na wanaoanzisha nyuzi asilimia kubwa ni wanaume ! Ukiachana na wale wanawake maarufu au wanaoshiriki mijadala pia ni wale wale wanajirudia rudia ,mara nyingi wengi nahisi ni wasomaji tu !!Ila naona kama wanaume mnateswa zaidi na mapenzi au naona vibaya 😁 mana vilio vyenu humu ni vingi kuliko wadada
Mtamuua muhuni sasa !! Anakumbuka momentKarudi kafikia kwa kidume anapelekewa moto ile mbaya na kakolea kinoma..anakuonea aibu tu kukuchana ukweli.. so wewe endelea tu na harakati zako..huyo demu kesha kupiga chini kitambo.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Perfect combination is not made by having common interests. It is best made by having different interests which should bring 2 together. Common character is what you're looking for.Mwaka mzima namsubiri aje lakin kaingia nchini kimya kimya bila hata kuniambia, kweli!
Mwanzon kabisa it was great. We had so much in common...we shared the same taste in everything music, movies, she loves karaokee though she’s bad at singing, she likes art and i love arts, we were the perfect combination
At first it felt like a dream you know, finding a missing puzzle piece, i felt complete, I can’t speak for her but i was happy as they come. untill when she went back to school, abroad
Ikawa Long distance sasa hapo nilikuwa najitahid relationship iwork, the time difference sikujali nilikuwa nakaa macho usiku wa manane ili tuongee
Akaniambia anakuja huu mwezi nikimuuliza lini hasemi tarehe specific anakwambia “soon tu”🥺
Nakuja kutambua kafika DSM kakaa kimya wakati tulikubaliana nimpokee anavyokuja yote hayo yakawa hayafai na nimegundua kwa kumchunguza kupitia Instagram kuona insta live anafurahia na wenzie
Nikiwasiliana nae anadanganya anasema hajafika nikamwambia kafika na nafahamu kwahiyo nimuone wapi akasema kwao zaman kahama sijui wanaishi kama Nomads bla blah!
Kifupi she’s blowing me off but i fucking love her, Nikimwambia anasema she’s not ready kukutana eti anadeal na some personal stuffs nkimwambia awe anafanya sharing nimsikilize anasema hayuko tayari
Kibaya kinachonitisha nitaipata wapi connection na mwanamke kama ile, we were “The couple” she was everything I ever wanted, tulikuwa tunaongea lugha moja she was wild and adventurous AF, I loved that about her lakin sasa nipo nipo tu
Najua kuna watu watasema Man-down, sawa ila nachowaza tu “nitampata wapi kama yule” uzuri ni kigezo ila somehow si kigezo maana wapo wengi damn it. lakini personality ndio tatizo nikikumbuka the sex
Imagine she freaking love comedy movies, anasikiliza Hip-hop anawakubali imagine dragons anaangalia animations ni shabiki wa Man u 🥺 and she loves nature, nilifikiri she was The one
No this ain’t over yet, our story doesn’t have to end this way... i need a freakin’ happy ending