Mapenzi yalikuwa zamani jamani

Mapenzi yalikuwa zamani jamani

Mapenzi ya zamani raha sana mwanamke anatoka Kwao kabeba chakula kwenye hotpot hadi ghetto kwako
Hawa wa siku hizi sio romantic kabisa anachokibeba yeye toka kwao ni chaja ya smartphone tu,hata hela ya nauli hana
Hizo zamani unazozisema uliziishi au malavidafi tu
 
Mapenzi ya zamani raha sana mwanamke anatoka Kwao kabeba chakula kwenye hotpot hadi ghetto kwako
Hawa wa siku hizi sio romantic kabisa anachokibeba yeye toka kwao ni chaja ya smartphone tu,hata hela ya nauli hana
Zama zipi hizo amvazo zilikuwa na "hotpot"!
 
Hakuna cha zamani wala nn,
Mapenzi yameanza vurugu hata huko kwenye vitabu vya mungu wenu wameeleza
 
Back
Top Bottom