Mkuu lengo langu kuu la KUOA mke si kupata mtumishi wa kunifulia/kudeki au kufanya chaos za nyumbani, nilioa kwa mapenzi, na ninaishi na mpenzi wangu ambaye ktk mafundisho ya dini yangu yeye ni sehemu ya mwili wangu(UBAVU WANGU) na Biblia imeandikwa ukimchukia mkeo ni sawa na kuuchukia mwili wako au kutoupenda mwili wako mwenyewe, na imeandikwa kabisa hiyo bi siri kubwa sana. Nadhani ndoa yako itakuwa ngumu sana coz unategemea ukioa basi WIFE wako awe km HG, akufanyie kila kitu wewe ukae eti kisa BABA. Sikubaliani na watu wenye fikra km zako, ndio maana ndoa zenu zinakuwa NGUMU sana. Mie bado naishi na wife wangu km tupo kwenye uchumba, yaani very simple ku maintain ndoa yenye upendo, jitume tu utaona mafanikio yake lkn kama unashinda na washkaji kijiweni/Bar ukategemea NDOA yako idumu basi wewe kushnei.